Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu hela ni ya wizi ilienda kufichwa shambani kwake watu wakachungulia fursa wakaaiba wakijua hawezi kuongea kitu ndio maana wale wezi walitekwa na kukalishwa kimya ila kule watu hawakai kimya HAWKS ndio kazi yao hiyo wakifanya uchunguzi watakuja na majibu na uchunguzi unatakiwa ufanyike na Rais asiwe madarakani...Again huu ni uzuzu at its best ,yaani ndege izuiliwe just for fun!,chanzo cha deni piga hodi pale magogoni au Lumumba wanajua, maana wanaendesha nchi with pure impunity, hapo SA president CR amekalia chupa wakati yeye ni victim!,fedha iliibiwa kutoka kwake sio mijizi tuliyokua nayo yanayoibia wananchi