Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

Tunapenda sana ccm ikae pembeni lakini sasa mvadala wake uko wapi?
Maama wapinzani wote sasa wako kwenye payroll hata hawasikiki
Nimejifunza hii kauli yako ndo brainwash inayotumika kutetea mafisadi
 
Hiyo ndege ilikamatwa January mlikuwa wapi mwaka Mzima??Hivi mnajua chaji za kipaki ndege schipol uwanja wa ndege Holland sidhani kama hata ikipigwa mnada hela ya paking itatosha kweli Tanzania ni nchi ya maajabu
 
Si tunawakilishwa na kina Dokta Musukuma, ndio maana wanaitwa Wawakilishi wa Wananchi, sasa sijui ni ushirikishwaji gani tena unaozungumzia?.
unawakilishwa na nani Mkuu?
 
Justification ni kwamba ilikuwa inaenda service, na ikatua Netherlands kwa ajili ya kuongeza wese, lakini ikashindwa kuondoka kwa wakati mdeni akaiotea.
Ilipokuwa inakuja Tanzania kutokea Canada ilipita Uholanzi?
 
Unadhania hao majaji wa huko Ulaya wanaweza kutoa vibali ya mahakama kimagendo magendo?

Mahakama ya kibiashara. Wewe unaelewaje kuhusu Ulaya? Mtu mweusi Yuko chini ya mbwa. So Usije na hoja za kuwaona wana ulaya wema. Dhuruma zao zinaanzaga toka wanapoamua kwenda huko africa. Win at all costs.

Kufanikiwa kwao kunatokana na watu wetu kupewa cha juu na kusaini au kuwapotosha viongozi kusaini kwa hiyo blind vertrauen. Mdhurumaji anajua na mdhurumiwa mwakilishi anajua.
 
Duh !! Hii ni tuhuma nzito sana !! Mwenye macho haambiwi tazama !!
 
Hao viongozi wa Africa huwa wanapotoshwa na hao watu wetu au ???! Mbona waliopotosha hawajawahi kuchukuliwa hatua kali ??!!
 
Haingii akilini kabisa, lazima wapiga deal wamefanya yao.
 
Iko siku wataanza kula za utosi,mmoja baada ya mwingine na hapo ndio utakuwa mwisho wa nchi kuchezewa!
 
Mnaingia mikataba ya mabilioni/matrilioni bila due diligence?!
Kama hukuishtukia mapema ndio inakula kwako Sasa kwa sababu Hawa huwa smart Sana.

Ni Kama kampuni ya Arab contractor inayozingua kwenye bwawa huko unakuja kujua baadae kwamba Ni kampuni ya kidalali na huwezi vunja Mkataba unaishia kubembelezana..
 
Mzee makamba ni Mzee mjinga tu. Kwanza Hana mchango wowote kwenye nchi hii zaidi ya kulamba asali
Wangekuwa wanaume wangeongelea suala la Ndege kukamatwa cha ajabu ni kumkejeli Hayati Magufuli na Bashiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…