Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Mayai ya kwale au Quail eggs sasa yanapatikana tena kwa wingi Tshs 25,000 kwa tray tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0788-318671 au PM Ahsante. Karibuni
 

Attachments

  • New Picture (1).png
    New Picture (1).png
    62.4 KB · Views: 994
  • New Picture.png
    New Picture.png
    58.7 KB · Views: 837
Wengine wamkoani unaweza kutuma matumizi yake mkuu.
a)Yanaliwa
b)Yanatagishwa kwa kuwapandishiwa kwa kuku
c)Vipi kuhusu Waganga wa kienyeji
d)Nikitaka kwale mwenyewe nitampata?
 
Huu ujasiliamali mwingine tena,me nasubiri mayai ya mjusi sijui nani atakuja kutuuzia?
 
Mkuu unakibali toka maliasili? hii biashara ya quail farming ni nzuri sana na inalipa sana ila inatakiwa uwe na kibali kwani kware ni mali ya serikali inayopatikana porini. Mayai ya kware yanafaida kubwa sana mwilin kama kurudisha cd4 vitami inatibu magonjwa mengi
 
Una kibali??? Hujui hizo ni Nyara za serikali
 
Hamna hata mmoja mwenye nia ya kununua, kila mtu anauliza maswali tu hapa, Hivi yule babu wa Samunge angesema yai la kware ni sawa na kikombe kungekuwa na maswali hivi? najaribu tu kufikilia.
 
Ndugu haya mayai yanaliwa kama vile ya kuku tuu unaweza kuchemsha, kukaanga, au kuchanganya kwenye vyakula na wengine wanapendelea kula mabichi na yana faida kadhaa kwenye mwili ikiwa na uwezo mkubwa wa kurepair cell na restoration hasa kwenye ubongo na cordination, na kwa watoto inaimairisha sana ubongo wao kuna nchi za mashariki ya mbali mama mjamzito na watoto mpaka miaka miwili ni shurti wale, nimeona faida pia kwa ndugu waliopata matatizo ya stroke na diabetes inawasaidia ukitaka kujua faida zake zaidi google benefits of quail eggs kuna habari nyingi na ambazo zinaweza kukusaidia. Kukutotolesha wengi wanatumia incubator sina utaalamu kuhusu kuwekea kuku ila kwa kuwa yakwao yanatumia siku kumi na nane wakati kuku anatumia siku 21 nafikiri kama ukichanganya inabidi uache siku mbili au tatu baada ya kuku kuanza kuataamia ila mayai kwa ajili ya kuanguliwa yanatakiwa yawe na treatment yake mojawapo ikiwa nikuyaweka yakiwa yanaangalia chini na hayatakiwa kuzidi siku kumi toka yametangwa kwa kupata mafanikio bora katika kuanganguliwa. Kuna watu wanauza hao kwale ila kwa sasa kila mtu ninayepigia inaonyesha order zimejaa ila kwenye mtandao wako wadau wa kutosha. Kwa taarifa zaidi unaweza kutembelea hizi link hapa chini
Quail Eggs & Health
LIVING HEALTHY: BENEFIT OF QUAIL EGGS
 

Attachments

  • Picture one.png
    Picture one.png
    62.4 KB · Views: 519
  • Picture two.png
    Picture two.png
    96.2 KB · Views: 431
mayai ya kwale yanauzwa tafadahali piga simu 0759-391104. Mayai haya yanaweza kutumika kama yale ya kuku kwa kuchemsha, kukaanga au kula yakiwa mabichi na ya faida nyingi kwenye mwili hasa katika kuimarisha kinga za mwili, kuongeza uwezo wa kukua kwa ubongo kwa watoto na kufanya cell za kumbukumbu kuwa vizuri. Ukitaka kujua zaidi faida angalia link hizo hapo chini
quail eggs & health
au
the hidden health benefits of quail eggs - healthy living - monitor.co.ug

mimi nahitaji mayai (fertilized eggs 300) kwa ajili ya kutotolesha na kufuga ila nimekwama kwenye kibali cha kufugia please nisaidie njia rahisi ulio tumia nami nipate kibali please nitanunua tray nyingi mkuu nipm au
 
Ndege huyu ameonekana kuwa ni mwenye manufaa sana katika afya ya binadamu na ambaye anaweza kufungwa kama kuku ila kwenye sehemu ndogo zaidi kupata habari za kina zaidi tembelea kwa click Ulimwengu wa kware

Kila la heri.
 
Mkuu,thanks kwa bandiko lako lenye link maridhawa!ila kwa Watanzania bado sana kujua umuhimu wa haya mambo,ukweli ni kua Watanzania bado tumelala kila nyanja,tunachofurahia ni porojo,kulalamika na siasa!kila kitu tunabaki wenzetu Wakenya,still hatujifunzi zaidi ya kukatishana tamaha,hata kwenye hii link ya KWARE nimeona jinsi Wakenya walivyo serious
 
Kabla ya kuwafunga unatakiwa upate kibali maliasili la sivyo utaiishia gerezani.
 
Kabla ya kuwafunga unatakiwa upate kibali maliasili la sivyo utaiishia gerezani.

Wangapi wameishia gerezani kwa kufuga kanga?wanauzwa mpaka mabarabarani,ukitaka kuwatoa nje ya nchi hapo ni lazima kibali the same apply to Quail,kwa taarifa yako watu wengi sana wanawafuga hawa ndege kwa sasa,na hawaka disturbed!
 
Umesema kweli , ILA NAPENDA KUWAONYA WAJASILIAMALI LET ALL OF US TO STOP GET RICH QUICK MENTALITY, OTher wise hii nayo ni biahsala kama zingine inaweza kukutoa katika ulimwengu wa kimaskini
 
Wanajamvi mpaka sasa naamini umeshapata kuelewa faida za mayai ya kware ambayo ni bora kwa afya yako katika kufanya restorative of human organs na ni ndege ambayo Mungu alimtoa kwa watu kumla soma kutoka 16:13 Zaburi 105:40.

Mayai hayo yanapatikana kama unahitaji piga 0788-318671.
Ahsante
 
Back
Top Bottom