Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,532
- 2,065
Haina noma mkubwa. Ngoja nimalizie kuweka fens then ntakushtua.ninahitaji haobwa wiki nne majike 25 na madume 10 kwa kuanzia.
Na vipi hao wa wiki 4 wanahitaji joto au nawaingiza bandari tu? Hiyo breed yako ni ya wapi mkuu?nimejaribu kufuatilia katika net wanasema breed nzuri ya mayai ni ya china na breed nzuri ya nyama ni ya japan kama sijakosea.
Tulio nao kwa lugha ya kitaalamu wanaitwa (Coturnix japonica) wana asili ya japan.