everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Ndege aina ya kware wanafugika vizuri na hutaga mara baada ya wiki nane, Ila kwa kuwa wanazaliwa wakiwa wadogo sana joto linatakiwa kuwepo la kutosha la sivyo unaweza kuwapoteza wengi. Kwa kuwa kware wanahitaji protein nyingi zaidi ya kuku ni vyema basi ukiwa unatumia starter mash ya kuku uongeze hapo vyakula vyenye protein kama soya usikiweke chakula vya kware vitu vya nyama kama damu hii huhatarisha. Hapo chini ni aina ya mabanda unayoweza kutengeneza rahisi kwajili ya kuanza kujikomboa kiuchumi.
Nimevipenda hivyo vibanda,je vinakaa nje(uani) au vinakaa ndani ya chumba? Nami napenda kufuga kwa matumizi ya familia.