Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
Chukua mahindi paraza kama kilo 15, pumba kilo 20, dagaa 5 Soya kilo 10 , Mashudu ya alizeti kilo 5 ( kama huna soya hakikisha source ya protein inakuwa 30% plus ya chakula chako so utaongeza dagaa), Vitamini na mineral chokaa. Usiwekee mifupa au kitu chochote kinachotokana na mifugo. ukiweza unaweza kupunguza mahindi ukawa ulezi au mtama wanapenda sana hiki weka hata kilo nne au tano utapenda wanufaa yake. Bila kusahau majani ni muhimu sana wewe yaweke bandani yasikosekane.
Jamani naomba msaada wa kujua chakula cha kware na jinsi kinavyotengenezwa