Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mmemwelewa. Huyu jamaa au mnakurupuka tu huyu jamaa ni mtaalam wa mafumbo nijuavyo Mimi kwale ninaemfahamu kwanza kwale hafugiki sasa afafanue ni kwale yupi ndio tuchamgie mada sio tukurupuke tu
hebu jifunzeni namna ya kufanya marketing,Mayai ya kware ambayo ubura wake umekuwa ukielezwa kwa muda sasa yanapatikana kwetu kupitia simu no. 0715 284 187. Tuko Makabe/Mbezi Luisi. Vifaranga na hata kware wakubwa wanauzwa pia. Tray ya mayai ni shs. 20,000. Tunatoa elimu ya ufugaji wa kware na kuonyesha jinsi ya kufuga kwa kutumia shamba letu la mfano. Ziko faida nyingi zitokanazo na mazao ya kware kuanzia tiba, afya na hata uchumi. Changamkia fursa hii adimu.
Jamani mmemwelewa. Huyu jamaa au mnakurupuka tu huyu jamaa ni mtaalam wa mafumbo nijuavyo Mimi kwale ninaemfahamu kwanza kwale hafugiki sasa afafanue ni kwale yupi ndio tuchamgie mada sio tukurupuke tu
Duniani hakuna kitu rahisi ila uwezo Mungu aliouweka kwa binadamu ukiamua jambo unaweza. Ni madogo huo ukubwa ni mambo ya kuzumu tu hayo. Vyakula vya kware ni lazima viwe na protein yakutosha ili waweze kutaga na kwahiyo tunaongeza zaidi soya, na kware hatakiwi kabisa kula vyakula vyenye njama kwahiyo vyakula vyenye damu hawarusiwi na kwahiyo unajua hivyo vyakula ambavyo wanapewa ili watage vingi vina damu. Kwenye vyakula vyangu nahakikisha nina soya, ulezi na mtama wa kutosha.
Kwanini?
Kwa sababu hivyo ndivyo vyakula vya asili vya kware hasa majani yenye mbegu
Sasa hivyo umevitaja kwanin? KUna watu umeona wanawapatia?