shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,070
Tangaza kwamba yanaongeza nguvu za kiume yataisha fasta na utashindwa kulimudu soko.
Mwezi wa12 mwaka jana nilikuwa Tanga,kuna sehemu wanauza vinywaji asilia.
Kuna kinywaji wanaita "kware shake" hiyo kitu ni tamu balaa,na wanadai inaongeza nguvu za jinsia.
Inachanganywa mayai ya kware,maziwa na tende.Glass moja ya hiyo kitu ni 2,500/=