Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
Mayai ya kware kutokana na nutrients zilizopo yameeonyesha kuwa yanasaidia sana katika kutoa sumu mwilini na hivyo kumfanya mtu awe na afya njema na vile vile huongeza Cd 4 za mwili ambazo zinahusika katika kuongeza kinga ya mwili katika kupambana na magonjwa mbalimbali.