Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Chukua mahindi paraza kama kilo 15, pumba kilo 20, dagaa 5 Soya kilo 10 , Mashudu ya alizeti kilo 5 ( kama huna soya hakikisha source ya protein inakuwa 30% plus ya chakula chako so utaongeza dagaa), Vitamini na mineral chokaa. Usiwekee mifupa au kitu chochote kinachotokana na mifugo. ukiweza unaweza kupunguza mahindi ukawa ulezi au mtama wanapenda sana hiki weka hata kilo nne au tano utapenda wanufaa yake. Bila kusahau majani ni muhimu sana wewe yaweke bandani yasikosekane.


Jamani naomba msaada wa kujua chakula cha kware na jinsi kinavyotengenezwa
 
Mayai ya kware yameendelea kuonyesha jinsi gani yanaowezo mkubwa wa kuimarisha kinga za mwili na moja ya chakula bora sana tembelelea site hii kwa habari hii kwa kina Japanese Quail Eggs
 
Pata leo kwa matumizi ya famila yote hasa kwa ajili ya kuimarisha kinga za mwili utafurahia utamu wake na umuhimu wake kwenye mwili.
 
Hi friends, I need to buy quails bird (kware) of two weeks or more am in Tarakea-Rombo, anyone who has let me know. Thanks
 
Umuhimu na manufaa ya mayai haya unaendelea kushangaza wengi watu waliotumia wanajiuliza hivi ni kwanini maarifa haya hayakuja siku nyingi ila faida ya mtandawazi na kukuwa kwa maarifa imetufikia nasi kuwa hiki ni moja ya chakula bora sana
 
Vifaranga vya kware vinapatikana. Bei hutokana na umri.

Kware
Siku moja-2000
Week moja- 3500
Week mbili- 4500
Week tatu- 5000
Week nne-6000
Week tano-7500

Napatikana tegeta dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi...
0755815174
 
Vifaranga vya kware vinapatikana. Bei hutokana na umri.

Kware
Siku moja-2000
Week moja- 3500
Week mbili- 4500
Week tatu- 5000
Week nne-6000
Week tano-7500

Napatikana tegeta dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi...
0755815174
 
Nini matumizi ya kwale?


Kware ni ndege afugwae kama walivo ndege wengine, mayai ya kware ndiyo yanayompa thamani zaidi ndege huyu. Huwa yanatumika kama tiba kwa maradhi sugu ikiwamo sukari, pumu, na kuongeza CD4. kwa asie na magonjwa yatamsaidia kujenga kinga zaidi.

Kwa commercial purposes, mayai yanabei nzuri sana sokoni. 20000-30000 kwa tray.

Mwisho kware ni kitoweo ukikwama kupata samaki au kuku...karibu
 
Ebu weka picha ya hao ndege mi siwajui kabisa!

Natumia simu mkuu ntashindwa kuattach picha kwa sasa..ila unaweza uka google "coturnix quails" utawaona kwa usawa zaidi. Tafadhali fanya ivyo
 
Kware ni ndege afugwae kama walivo ndege wengine, mayai ya kware ndiyo yanayompa thamani zaidi ndege huyu. Huwa yanatumika kama tiba kwa maradhi sugu ikiwamo sukari, pumu, na kuongeza CD4. kwa asie na magonjwa yatamsaidia kujenga kinga zaidi.

Kwa commercial purposes, mayai yanabei nzuri sana sokoni. 20000-30000 kwa tray.

Mwisho kware ni kitoweo ukikwama kupata samaki au kuku...karibu

Mbona hizo zote ni ka sifa za mafuta ya ubuyu?

TFDA wanasemaje?
 
Kwa mwenye kujitaji picha tafadhali
 

Attachments

  • WP_20141220_17_30_48_Pro.jpg
    WP_20141220_17_30_48_Pro.jpg
    645.5 KB · Views: 144
  • WP_20141220_17_30_49_Pro.jpg
    WP_20141220_17_30_49_Pro.jpg
    649.4 KB · Views: 141
  • WP_20141217_16_58_27_Pro.jpg
    WP_20141217_16_58_27_Pro.jpg
    418.8 KB · Views: 124
  • WP_20141217_001.jpg
    WP_20141217_001.jpg
    422.2 KB · Views: 120
  • WP_20141217_16_57_44_Pro.jpg
    WP_20141217_16_57_44_Pro.jpg
    540.5 KB · Views: 110
Ninahitaji sana,nini chakula chake,na wauzaje mayai,0784413039.
 
Najitahidi kupost mara nyinig kuhusu mayai ya kware na faida za ndege huyu katika maisha ya binadamu kwa sababu mimi inanishangaza kupata taarifa jinsi watu wanavyosaidika najiuliza hivi kutakuwa na vitu vingine ambavyo sivijui mwenyezi Mungu aliviweka vimsaidie binadamu so natural kweli tunatakiwa tuendelee kujifunza ili tujue baba yetu ametuwekea nini vya kutusaidia. Karibu mayai ya kware kwaajili ya kuiweka afya yako vizuri. Ahsante.
 
Mayai ya kware yanapatikana sasa kwa wingi tupigie tukuhudumie
ningeomba unifahamishe je inachukua mda gani kware kuwa tayari kwa kwa nyama? na je anakuwa na uzito wa kiasi gani wakati huo? je soko la kware(kama nyama) likoje? je kware mmoja bei yake tsh ngapi sokoni? natanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom