Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

mkuu sasa tutaaminije ni mayai ya kware kweli maana wengine hata kuyaona hatujawahi, msijetulisha na mayai ya kenge buree
 
Faida kubwa ni kwamba yana protein nyingi kuliko ya kuku yanasaidia kuongeza uwezo wa kujikikinga na magojwa mbalimbali, yana some kind of restorative power kwenye cell za mwili na hivyo kuwafanya watoto wadogo kuweza kuwa na uwezo mkubwa wa kukua vyema hasa katika ubongo.

Ndio maana kwa mama wajawazito na wanaonyonyesha katika nchi ya Japan ni shuruti kula haya mayai. Wazee nayo inasaidia sana katika viungo. Na kuna research nyingine zinasema kuwa hiki kinapaswa kutangazwa kuwa super food kwa kuwa kila alot of calcium na potassium.

Ingawa personally nimeona watu waliokuwa na stroke wakiwa wamelala kabisa walipotumia wameweza kutembea, watu wenye allergy mbalimbali baada ya kutumia wamerudi vizuri. Kwa kujiridhisha zaidi unaweza kugoogle kuna taarifa nyingi tu kuhusu umuhimu wa mayai ya ndege huyo
 
Mayai ya kware au Quail eggs sasa yanapatikana tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0788-318671 au 0759391104 Ahsante na naomba kuwasilisha. Karibuni

Unapenda kuona picha, Mayai ya kwale yako kama hayo hapo chini na kware mwenyewe anafanana kama hivyo


9k=
9k=
 

Attachments

  • Picture one.png
    Picture one.png
    62.4 KB · Views: 279
  • Picture two.png
    Picture two.png
    96.2 KB · Views: 241
  • quail eggs.jpg
    quail eggs.jpg
    4.3 KB · Views: 697
  • Poses of  kwale.jpg
    Poses of kwale.jpg
    6.9 KB · Views: 706
  • quail12.jpg
    quail12.jpg
    26 KB · Views: 267
  • YaI KAANGA.jpg
    YaI KAANGA.jpg
    5.2 KB · Views: 223
Nini kilicho big deal kuhusu hayo mayai?

Mdau kasema yana protin na virutubisho vingi vya ziada, ila bado haiingii kwa kichwa kwani huyo kware anakula nini cha ziada ambacho ndege wengine kama kuku, kanga. Bata tuliowazoea hawapati? Naona waongeze na matibabu ya nguvu za kiume watapiga sana hela
 
Mdau kasema yana protin na virutubisho vingi vya ziada, ila bado haiingii kwa kichwa kwani huyo kware anakula nini cha ziada ambacho ndege wengine kama kuku, kanga. Bata tuliowazoea hawapati? Naona waongeze na matibabu ya nguvu za kiume watapiga sana hela

Yai moja la kware lina grams ngapi za protini?
 
Mdau kasema yana protin na virutubisho vingi vya ziada, ila bado haiingii kwa kichwa kwani huyo kware anakula nini cha ziada ambacho ndege wengine kama kuku, kanga. Bata tuliowazoea hawapati? Naona waongeze na matibabu ya nguvu za kiume watapiga sana hela

Duh mkuu kwa logic hio basi ni kwanini na mimea yote inapandwa ardhini na ina access na nutrients zote lakini Bangi, Mlonge na Mchicha, Citrus n.k. zina nutrients tofauti ?
 
Duh mkuu kwa logic hio basi ni kwanini na mimea yote inapandwa ardhini na ina access na nutrients zote lakini Bangi, Mlonge na Mchicha, Citrus n.k. zina nutrients tofauti ?

mkuu cwezi pingana na wewe, ila mtoa mada angeweka pia udhibitisho wa asilimia za virutubisho vilivyopo kwa mayai ya kware na mengine ingetupa mwanga zaidi, tukubali kuhoji ndio msingi wa kupata elimu zaidi. Na kilicho nipa shida zaidi hata ukipitia hiyo blog yao maelezo yamekaa kiushuhuda zaidi hayana tofauti na ya Madoctor wa tiba za asili
 
mkuu cwezi pingana na wewe, ila mtoa mada angeweka pia udhibitisho wa asilimia za virutubisho vilivyopo kwa mayai ya kware na mengine ingetupa mwanga zaidi, tukubali kuhoji ndio msingi wa kupata elimu zaidi. Na kilicho nipa shida zaidi hata ukipitia hiyo blog yao maelezo yamekaa kiushuhuda zaidi hayana tofauti na ya Madoctor wa tiba za asili

Ndugu yangu. ... uliwahi kwenda pharmacy au dukani ukahoji scientific proof ya dawa ya panadol au Headache .... au tu ni wewe na wenzako kutumia na wakapona kwa imani?
 
Mkuu ila ushasema dawa na tayari kumbuka ishathibitishwa maabara kwa matumizi ila japo baadhi ya madawa mengi yana madhara makubwa mwilini yakitumiwa vibaya. Ila tusiende nje ya nilichohoji, je imethibitishwa kwa kiasi gani hayo mayai ya kware yana virutubisho vingi kuzidi ya kuku au kanga?

Kumbuka kuna wajasiriamali fulani walikuja na biashara ya mafuta ya ubuyu kwa madai ya kutibu magonjwa mengi mwilini sababu hata mie ni mhanga niliyanywa ya kutosha, ila badae TFDA wakaja na tamko la tahadhari kwa watumiaji.
 
Niliwahi kusikia kuwa unahitaji kuwa na kibali kuuza ama kufuga kware ama mayai yake maana ni mnyama pori,je unacho hiko kibali?

Nisije nikashikwa nayo nikaambiwa nisaidie askari kueleza nilipoyatoa.
 
Binafsi nasisitiza kuwa mayai ya kware ni super food na sio dawa inasaidia katika kurepair cell, ila kwa kuwa watu wengi wanapenda sana kutibiwa kuliko kuishi balance life ambayo inahusu kula vyakula vilivyo kamili na vilevile kufanya mazoezi ni rahisi sana kutaka kitu kimoja tu kiondoe matatizo yote. Niliyoyaona kwa watu wengi wanataka kuiita hii dawa lakini mimi naamini ni moja ya ingredient muhimu katika vyakula na hii ipo hii link inayoeleza habari kwa undani ila kwa kuwa watu wengi hawapendi kusoma ngoja niipaste hapa chini ili uone tofauti ya mayai ya kware na mengine.

WHY QUAIL EGG IS IMPORTANT

Quail eggs are packed with vitamins and minerals. Even with their small size, their nutritional value is three to four times greater than chicken eggs. Quail eggs contain 13 percent proteins compared to 11 percent in chicken eggs. Quail eggs also contain 140 percent of vitamin B1 compared to 50 percent in chicken eggs. In addition, quail eggs provide five times as much iron and potassium. Unlike chicken eggs, quail eggs have not been know to cause allergies or diathesis. Actually they help fight allergy symptoms due to the ovomucoid protein they contain.


Regular consumption of quail eggs helps fight against many diseases. They are a natural combatant against digestive tract disorders such as stomach ulcers. Quail eggs strengthen the immune system, promote memory health, increase brain activity and stabilize the nervous system. They help with anemia by increasing the level of hemoglobin in the body while removing toxins and heavy metals. The Chinese use quail eggs to help treat tuberculosis, asthma, and even diabetes. If you are a sufferer of kidney, liver, or gallbladder stones quail eggs can help prevent and remove these types of stones.

Below we have addressed some of the more frequent quotes and statements you will find on-line or in literature about the Quail Egg. Typically the statements made about Quail Egg nutrition are taken at face value or even chalked up to folklore. Really, you never see the specifics about each vitamin and mineral the Quail Egg offers and how it helps a human body. So we have elaborated on the most frequently seen Quail Egg benefit statements...
"Quail egg nutritional value is three to four times greater than chicken eggs. For instance, Quail eggs contain 13 percent proteins, compared to 11 percent in chicken eggs."
Why is this important? Because protein is what our body needs to build muscle and use as a long term energy source. Carbohydrates, when consumed and not used by the body end up becoming fat that we carry. Protein found in Quail eggs is of superior quality in that it is accompanied by a very high nutrient load. As follows:

"Quail Eggs contain 140 percent of vitamin B1 compared to only 50 percent in chicken eggs."
Why is Vitamin B1 important? B1 is also called Thiamine. Thiamine is responsible in the biosynthesis of GABA. Deficiency in Thiamine can cause optic neuropathology, Korzkoff's syndrome, a condition called Beriberi (involving neurological system, cardio vascular systems and gastrointestinal systems), malaise, weight loss, irritability and confusion. Thiamine is essential and can be obtained easily by consuming Quail Eggs.

"Quail eggs provide five times as much iron and potassium."

Why are Iron and Potassium (minerals) essential to the human diet? Iron deficiency can result in anemia. Iron is essential in binding to protein and carrying oxygen in the blood. Pre-menopausal women and children are most susceptible to Iron deficiency. An Iron deficiency begins via the main regulatory mechanism of Iron, situated in the gastrointestinal tract. When Iron is not absorbed there, deficiency /anemia can result. Quail eggs, providing 5 times the Iron to a chicken egg are simply a far superior source in so small a portion. Potassium when mildly deficient in humans typically shows no symptoms...However when symptoms do arise from a lack of Potassium intake they can present in the form of muscle weakness, muscle cramps and or constipation. The main way we loose Potassium is through excessive fluid losses such as sweating, polyuria (urinating a lot due to medications or diuretics such as caffeine intake) and by fluid losses from being sick (vomiting and such).




So a small egg that delivers 5 times it's larger, more commonly
consumed counterpart (the Chicken Egg), in Iron and Potassium is absolutely powerful as a food and why we choose to
call the Quail Egg a Super Food with regard to nutrition.

"Another important quail egg fact is that quail eggs have not been shown to cause allergies
or diathesis. They can actually help to fight allergy symptoms due to the ovomucoid protein they contain."
On the Quail Egg USDA Nutritional Data Fact sheet,
the Quail Egg receives an inflammatory food grade of "-7" . This is wonderful and a big reason why it is a beneficial
food persons with autoimmune or inflammatory conditions.
We have some wonderful Nutritionists that are on our frequent order list
through Slowsprings Farm. They ×love the Quail Egg as an alternative for those who are intolerant of the Chicken Egg in the
diet. When you are making changes and are trying to improve your health, it is important to get guidance on the proper way
to balance doing so. There are trained professionals who can help you make good decisions in your diet and what your specific
needs are. Particularly if you are intolerant of any egg product. Take care. Be well AND safe. Nutritionist and Doctors will
safely guide you. Eggs should always be cooked until firm and not runny. Eggs should always refrigerated at 41 degrees F,
until cooked for consuming.

"Quail eggs contain twice as much vitamin A and B2 than a Chicken Egg."A list of bodily functions that Vitamin A plays
a role in are as follows: Vision, Gene Transcription, Embryonic development and reproduction, Bone metabolism, Hematopoiesis,
Skin and cellular health, Antioxidant activity.
Vitamin B2 is also known as Riboflavin. Riboflavin deficiency classically presents itself
via the cracked edges of the mouth ( Angular cheilitis), photophobia (light sensitivity) and dermatitis (dry< scaling skin)
and red bloodshot eyes (accompanying that photophobia). In animals, lack of Riboflavin can cause stunted growth and
"failure to thrive". We think the Quail Egg sounds better and better as we go down the nutrition list.




The Quail egg is richer in phosphorus and calcium
than a chicken egg.

Women
and children especially need extra calcium in the diet. Calcium promotes bone health.Calcium is essential for living organisms,
in particular in cell physiology, where movement of the calcium ion Ca2+ into and out of the cytoplasm functions as a signal
for many cellular processes. As a major material used in mineralization of bones and shells, calcium is the most abundant
metal by mass in many animals.
Phosphorus is essential for life. As phosphate, it is a component of DNA, RNA, ATP, and also the phospholipids that
form all cell membranes. Demonstrating the link between phosphorus and life, elemental phosphorus was historically first isolated
from human urine, and bone ash was an important early phosphate source.

Quail eggs have been used for thousands of years
for a healing food. Chinese medicine uses include quail eggs to help with rhinitis, asthma, hay fever and skin conditions.
Quail egg is often found in facial and hair products.

Quail eggs have a high HDL cholesterol content ("good fat")
and they are a high protein food providing higher levels of the B complex and are a non inflammatory food.
The above listed vitamin
and mineral evaluations, easily found through the internet or found in medical dictionaries, show you why... Humans
can become deficient in dietary nutrition by eating over processed and packaged foods. Returning to Whole Food, Slow
Food and Organic Food gives the body, nutrients once found by eating wild, fresh and nutrient dense food. It is science
based. It is medically documented, whether it be on-line, in books or medical journals.

Now Quail Eggs are being spotlighted on famous chef cooking
shows and health talk shows . The nutrient dense nature of Whole Foods, Slow Food and Organic Food, such as the Quail
Egg are needed for the human animal to survive and further...thrive.

We wanted to explore the list of nutrients the Quail Egg contain at higher
levels than a Chicken Egg and their role in the body. This nutritional point of view explains the consumption and prescription
in both ancient and modern times of the Quail Egg for health.



Do Quail eggs have cholesterol? Yes! The good kind. Quail eggs are rich in HDL cholesterol.

HDL cholesterol helps balance
the bad LDL cholesterol in blood levels. So Quail Eggs have the good kind of fat. Not all fat is bad. Not all cholesterol
is bad. Remind yourself by associating HDL with that H equaling "Happy". LDL can be remembered by
the L equaling "Lousy". Humans actually benefit by ingesting foods with higher HDL cholesterol.

Finally...Quail Eggs taste richer. Due to the increased
levels of trace minerals stated above, there is a fuller flavor to the Egg of a Quail. Some have described the
taste as "richer" or "like butter". Quail are naturally insectivorous and consume mostly seeds and
grasses or legumes in the wild.
Their shell is more protective than that of a Chicken egg, utilizing a stronger membrane just under the hard shell.
This membrane makes it more difficult for bacteria to enter naturally.
We think the Quail lay a fantastic "wild egg" in every
sense of the word!
Enjoy them. For their natural beauty, taste and health.
 
Kwa yai lenye gram tisa ambalo ndio wastani wa mayai ya kware protein ni 1.17 nimeamua kujibu hili swali kwenye page ya leo unaweza kutembelea kwa ujuzi zaidi bofya hapa upate habari kwa undani
 
Katika siku chache baada ya kupost hapa kuhusu upatikanaji wa mayai ya kware nimekuwa nikipata maswali kuwa nini hasa tofauti ya mayai ya kware na yale ya kuku ingawa mada za awali zilikuwa zinaonyesha tu kwa habari za watu waliopata kutumia mayai haya na kuona umuhimu wake katika afya na baadhi ya tovuti kuongelea tu kwamba mayai haya ni mazuri yanasaidia kwa afya bado kama watu tulienda shule ilikuwa hakidhi haja kuamani tu yakuwa yana saidia katiaka afya, nikiwa mmojawapo wa watu ambao niliona yanasaidia watu walikuwa na rush kwenye ngozi na alleggy wanakaaa vizuri. Na mpaka sasa mimi napenda kuiita hiki chakula bora na sio dawa kama watu wengi waliotumia wakapata nafuu au kupona na wale waliokuwa na udhaifu wakata kuwa vyema lakini msimano wangu binafsi napenda kutambua mchango wake haya mayai kama chakula bora na ndio maana hata Mungu aliamua kuwapa wana waisrael kama chakula kwenye Kutoka 16:13 na mtumishi Daudi anakomelezea kwenye Zaburi 105:40. Sasa kwa kuwa siku zote najua kuwa Mungu hapingani na sayansi kitu wanasayansi wanachofanya nikungudua tu mambo ambayo Mungu ameyaweka kwahiyo ikabidi nitafute kisayansi sasa sisi tunaopenda kuoona na kufanya akili zetu zielewe maana ukielewa jambo kwenye akili yako ni rahisi kufanyia kazi na kwenda mbele na sio kitu kibaya aliyetuumba anapenda sana tutumie akili zetu.
Katika kutafuta nikasema pamoja na vyanzo vya wataalamu binafsi ningependa kupata vyanzo vilivyo vya kiserekali ambavyo wao hawana upande waliolalia maana hawa wataalamu binafsi wanaweza kuwa na ajenda zao, Na ndipo nilipopata utafiti wa USDA (United State Department of Agriculture) unaonyesha tofauti za mayai haya kwa kila katika category 78 za nutrients zilizogawanya mayai ya kware yana vitu 31 zaidi ambayo ya kuku hayana kabisa wakati yale ya kuku ya kitu kimoja tu ambacho hakiko kwenye ya kware ambacho naomba nikitaje nacho ni Vitamin K (phylloquinone) na katika hizo 45 vilivyobaki vya kware 42 viko juu na vingine hata mara mbili ya zile za kuku, wakati vya kuku ni 3 vitatu ambayo vimezidi vile vya kware. Angalia link hizo hapo chini kwa number kamili

1. Bofya hapa ikuonyeshe mlinganisho wa mayai ya kware na kuku katika nutrients

2. Bofya hapa uone nutrients za mayai ya kware peeke yake


3. Bofya hapa uone nutrients za mayai ya kuku peeke yake

Naomba niwakilishe nakaribisha maswali comment au unaweza kutembelea pia www.ulimwenguwakware.blogspot.com ili tuendelee kujifunza zaidi faida ya ndege huyu na manufaa yake katika maisha yetu Ahsanteni na karibuni.
 
Naona umekuja na details zote kukata mzizi uliokuwa unasumbua.
 
Back
Top Bottom