Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Nasikia haya mayai ni mazuri sana na yanatibu magonjwa mengi.
Mkuu tupe bei kabisa
 
Ndugu hii habari ya kutibu unayafanya haya kuwa dawa ila hii sio dawa ni chakula bora. Chenye nutrients nzuri kwa ajili ya mwili inasaidia sana kuimarisha kinga za mwili na in nutruents 31 ambazo hazipo kabisa kwenye mayai ya kuku. nzuri kwa watoto na adults ambao wako above 35 yameonyesha uwezo mkubwa wakuongeza cordination na memory sharpnes.
 
Samahani nilikuwa nje ya mtandao wakuu bei yake ni sasa ni Tshs 20,000 ilikuwa Tshs 25000 kwa tray ya mayai 30 ndugu
 
Ndege aina ya kware wanafugika vizuri na hutaga mara baada ya wiki nane, Ila kwa kuwa wanazaliwa wakiwa wadogo sana joto linatakiwa kuwepo la kutosha la sivyo unaweza kuwapoteza wengi. Kwa kuwa kware wanahitaji protein nyingi zaidi ya kuku ni vyema basi ukiwa unatumia starter mash ya kuku uongeze hapo vyakula vyenye protein kama soya usikiweke chakula vya kware vitu vya nyama kama damu hii huhatarisha. Hapo chini ni aina ya mabanda unayoweza kutengeneza rahisi kwajili ya kuanza kujikomboa kiuchumi.
 
Attachments

  • Simple quail cage.jpg
    Simple quail cage.jpg
    17.9 KB · Views: 479
  • Banda nyuma ya nyumba.jpg
    Banda nyuma ya nyumba.jpg
    68.7 KB · Views: 508
  • Ufugaji wa mkubwa.jpg
    Ufugaji wa mkubwa.jpg
    14.5 KB · Views: 519
  • Nice Quail pics.jpg
    Nice Quail pics.jpg
    21 KB · Views: 407
Shukran mkuu kwa taarifa, ila ningependa kufahamu kama kuna kosafu za kware zilizoboreshwa maalum kwa ajili ya kutoa nyana au mayai pekee.
Salaam.
 
wa wiki mbili huwa wana range from 5500 to 6000 kwasababu inakuwaaga ngumu kutoka watoto mpaka hapo. Ulikuwa unahitaji wangapi
 
Aina bora kwa ajili ya nyama wanaitwa Japanese Coturnix ndio species nzuri kwa ajili ya nyama wanakuwa wakubwa zaidi na kwa haraka, ila jamii nyingine wanafikia g 250 to 300.

Shukran mkuu kwa taarifa, ila ningependa kufahamu kama kuna kosafu za kware zilizoboreshwa maalum kwa ajili ya kutoa nyana au mayai pekee.
Salaam.
 
wa wiki mbili huwa wana range from 5500 to 6000 kwasababu inakuwaaga ngumu kutoka watoto mpaka hapo. Ulikuwa unahitaji wangapi

Nauliza kama ufugaji wa kware unahitaji kibali toka idara ya mali asili au idara nyingine yoyote?
Nauliza hivi kwa sababu kware kwa asili ni ndege wa porini.
 
Safi sana mkuu.... aisee mi nadhani lazima tutoke. nilikula kware pori those days kijijini ni nyama nzuri sana beyond measure. but now is business. big up nand thaks for info sharing.
 
Mayai ya kware yaliyo chakula bora kwa ajili ya afya zetu yanapatikana kama unahitaji tafadhali piga 0788-318671.
Karibuni
 
Attachments

  • eggs 2.jpg
    eggs 2.jpg
    9.9 KB · Views: 252
tutathibitishaje ni ya kware usije ukatuuzia mayai tuweke kwenye incubator mwisho wa siku wanaanguliwa Kenge au mamba
 
Ndugu acha utani wako nyuma na hao ya reptilia ni laini au google Quail eggs picture utaona yanafanana, na kama ni kijana wa kiume above 30 haya yatakusaidia sana Japan inashauriwa kuliwa na watoto na wanaume walio komaa. Ahsante
 
Bei,
wapi ulipo,
ratio ya madume kwa majike bandani?
 
Maya ya kware yanauzwa faida ya mayai haya ni lishe bora kwa afya yako na watoto pia ukitaka kujua faida zake zaidi Bofya hapa ukihtaji unaweza kupiga numba 0754-222731 au tembelea ULIMWENGU WA KWARE TANZANIA kwa habari za uchambuzi wa kina. Ahsanteni
 
Interesting business; Unauza bei gani,
Nahitaji nini ili kuanza huu ufugaji, kuna tofauti yoyote kati ya ufugaji huu na ule wa Kuku?i.e Nyumba,chakula etc:
Ahsante
 
Back
Top Bottom