Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Kaka hao wanafungwa tu kama kuku kwahiyo usiogope ndugu nafikiri kujapata hayo ya bundio ndio kazi ngumu kweli kweli
 
Mi nasikia kufuga kware ni kazi sana inawezekana vipi, na mbona hayo mayai katika picha yanaonekana makubwa na yana madoa kama yale ya bata mzinga? mleta mada hebu kuwa wazi ni kweli ya kware? na jee hujawalisha hivi vyakula vya kuku wa broiler ili watage na kupunguza hizo nutrients?
 
Duniani hakuna kitu rahisi ila uwezo Mungu aliouweka kwa binadamu ukiamua jambo unaweza. Ni madogo huo ukubwa ni mambo ya kuzumu tu hayo. Vyakula vya kware ni lazima viwe na protein yakutosha ili waweze kutaga na kwahiyo tunaongeza zaidi soya, na kware hatakiwi kabisa kula vyakula vyenye njama kwahiyo vyakula vyenye damu hawarusiwi na kwahiyo unajua hivyo vyakula ambavyo wanapewa ili watage vingi vina damu. Kwenye vyakula vyangu nahakikisha nina soya, ulezi na mtama wa kutosha.
 
Tangaza kwamba yanaongeza nguvu za kiume yataisha fasta na utashindwa kulimudu soko.

Mimi hiki napenda kitumiwe kama chakula bora na sio dawa na moja ya chakula bora ni kuimarisha mwili uwe sawasawa na kwahiyo hata hiyo idara tunajua ni chakula, mazoezi na mapumziko ya kutosha yana saidia embu google kwenye mtandao Benefit of Quail eggs utaona mambo yake. Uki-google utapata nyingi zaidi za kupanua uelewa na kujua umuhimu wake katika afya
 
Binadamu wanaweza kufanya lolote watu wanaweza kufuga simba itakuwa kware kaka
 
Huyo mchina alianzisha cheni yake ya kutengeneza chakula ya kutisha na ubunifu wa hali ya juu

Ndugu angalia huyu mchina bilinea kwa kufuga kware
www.forbes.com/lists/.../china-billionaires-11_
Liu
-
Yongxing
_M87J.html

Hilo yai kware chemshwa halafu linapigwa binzari na mbogmboga za ukweli kwa dona kidogo mlo kamili bila kusahu majai ya maboga. Ni kitu cha uhakika.
Ahsante
 
Attachments

  • quail-curry-eggs.jpg
    quail-curry-eggs.jpg
    54.5 KB · Views: 433
Hilo yai kware chemshwa halafu linapigwa binzari na mbogmboga za ukweli kwa dona kidogo mlo kamili bila kusahu majai ya maboga. Ni kitu cha uhakika.
Ahsante

Kitu cha ukweli lol

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jinsi ya kuyapiga mayai ya kware kama saladi na mishikaki hiyo mambo utakuwa umemaliza kupata chakula bora kwa afya ya mwili wako. Kwa habari zaidi tembelea ULIMWENGU WA KWARE TANZANIA au tupigie simu ukiwa unahitaji mayai ya kware.
 
Attachments

  • salad ya kware with tomato.jpg
    salad ya kware with tomato.jpg
    10.2 KB · Views: 588
  • Salad ya kware.jpg
    Salad ya kware.jpg
    47.7 KB · Views: 382
  • Mishikaki ya kware.jpg
    Mishikaki ya kware.jpg
    10.2 KB · Views: 386
Back
Top Bottom