Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayai ya kware kama chakula bora katika nutrients 78 ukilinganisha na yale ya kuku, Nutrients 31 hazimo kabisa kwenye kuku ila kwenye kware zipo hiyo ni kutokana na Database ya USDA (Unites state Department of Agriculture)
mie natafuta mayai ya
nipm mkuu kama unayo
- bata bukini
- bata perkin
- na bata mzinga
Kware siuzi mayai Tshs 25000 kwa tray
Mkuu Tumainiandy kwani biashara ya nyama na mayai ya hawa kwale iko vipi kwa sasa hapa kwetu Tanzania?masoko yapo ya kutosha?na mimi nahitaji kufuga hawa kwale,ila naogopa ku-risk haka kahela kangu kadogo,tafadhali naomba ushauri wako mkuu!
tupe bei unauzaje kwa trei