Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Habari za muda huu.. hope mko vizur popote mlipo.
Ndugu wenzangu wanajamii forum.. ni ukweli usiopingika kwamba magonjwa yamekua tatizo kubwa sana ambalo jamii kila cku wanakumbana nayo na pamoja na kupoteza pesa nyingi kwaajili ya matibabu kutokana na Magonjwa mbali mbali. Jioni hii nimekuja kwenu na moja ya dawa ambayo inatibu magonjwa takriban 31 na imethibitisha na Madaktari. Nayo ni Mayai ya kware.
Kware ni ndege waporini wanaofanana kuku lkn wao ni wadogo kidogo mayai yao ni tiba pia nyama yao kwa magonjwa kama vidonda vya tumbo.. asthma, skin rash, nguvu za kiume (sexual potency) obesity, gouts, diabetes, anemia .etc n.k nafikiri dawa hii si ngeni kwenu kwa baadhi ya watu ambao mmeshaisikia na kuitumia na shuhuda mnazo kuwa inatibu kabisa.
Ninafuga kware na ninauza mayai yake trei moja sh 30,000 kwa yeyote atakae hitaji kwaajili yako au una ndugu na marafiki wenye magonjwa mbali mbali tusiache kufahamisha na ilituweza kusaaidia wenzetu no: 0713881353 asanteni
 
Samahanini namba ya simu nimekosea badala 0713881853 nikaandika 0713881353 hii sio nimekosea namba yasimu ni sahihi ni hii hapa 0713 881853asanteni
 
Sasa watanzania wameanza kufunguka kuhusu umuhimu wa mayai ya kware katika milo yao baada ya kugoogle watu wameanza kuona umuhimu naomba tujiweke kwenye kusoma zaidi kuhusu umuhimu wa mayai ya kware katika maisha ya binadamu
 
Mkuu mbona hujibu swali la mali asili? Wadau zaidi ya wawili wameulizia hiyo ishu na hujawajibu.
 
Ingawa full faida kwa upana wake bado haujakamilika lakini mayai ya kware yameonekana kama chakula bora na kinga kwa baadhi ya magonjwa kama yalivyoainishwa kwenye mtandao wa Monitor Uganda.
 
Kazi njema reserch mbalimbali zinaendelea na kwa kuwa ni chakula watu wengi wanapata faida zake huku utafiti kama nilivyosema mwanzoni kabisa kuku walikuwepo lakini Mungu akawapa watu wale kware lazima kuna sababu ya ziada kama hawa watu walikuwa na safari ndefu halafu wakapewa kula kware ni muhimu kuzingatia katika maisha yetu.
 
Kware wanahitaji unapofuga ni kama kuku ila wanahitaji zaidi at least 30% protein ili waweze kutaga mayai bora.
 
Kutokana na jinsi Kware wanavyohitaji vyakula vya protein vilevile ni muhimu kuongeza madini ya chokaa na mashudu ya alizeti kwenye vyakula vyao
 
Mayai ya kware vilevile yanasaidia katika kurestore cell zilizokufa ni mojawapo wa chakula bora kwa binadamu
 
Naamini sasa google kuna alot of material kuhusu mayai ya kware ni watu kugoogle nakuona kama yanaweza kuwasaidia.
 
Mayai ya kware yana chuma (iron) na Madini ya pottassium mara nyingi mno kwahiyo kutokana na madini hayo ya chuma ndio maana watu wenye upungugu wa damu inawasaidia maana mtu akiwa ana upungufu wa damu (anemic) mara nyingi sana anakosa madini ya chuma basi inakuwa inasaidia kurudia kwenye kiasi kinachotakiwa. Mimi nilikuwa nashangaa kwanini hizo nchi za Asia zinapendelea kuwapa wakina mama wajawazito mayai ya kware kumbe ni kwaajili ya kuakikisha kuwa damu ya mama inabaki katika kiwango kinachotakiwa na vile vile mtoto anapata madini ya kutosha ya chuma. Ukiangalia vidonge vile vya kuongeza damu utaona kuna kiasi kikubwa cha chuma.
 
Nashukuru ila lengo langu hasa pamoja ni kufanya wateja wangu wawe na information za kutosha kwahiyo nami nasoma kila siku kuhusu huyu ndege na faida zake napenda watu wajue zaidi na tukijifunza zaidi tunajua zaidi na hivyo tunagundua mengi na umuhimu wake na hivyo tunaweza kwenda mbele
 
Siku zote napenda kutoa elimu kwasababu watu wakielimika ni rahisi sana kufikiri na kufanya maamuzi na ndio maana pamoja na kutangaza biashara ila napenda watu waelimike nakujua zaidi kuhusu huyu ndege
 
nilikuwa leo natafuta kwanini mayai ya kware yanasaidia watu wenye allergy mbalimbali nimeona kumbe kwenye mayai hayo kuna protein moja inayoitwa ovomucoid protein ambayo inatumiwa kama moja ya ingredient ya kutengeneza dawa za allergy ongeza ujuzi ya leo hiyo.
 
Faida za chakula hiki kinaendelea kunishangaza nipata habari kuwa jamaa mmoja aliyekuwa anatumia vision yake ilikuwa inampa tabu sana lakini baada ya kutumia kwa wiki kadhaa ameona maendeleo mazuri katika kuona kwake anasema alijua kuwa kuna kitu kimebadilika mwilini mwake, mimi bado naamini hii siyo dawa ila ni chakula watu wanatakiwa kutumia kama chakula kupata manufaa yanayopatikana kwenye chakula bora
 
Back
Top Bottom