Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Mayai ya kware ambayo ni mazuri kwa ajili ya afya yako kama chakula bora sasa yanapatikana kama unahitaji piga 0754-222731.
Tshs 20,000 kwa Tray Ahsante

Samahani nilikuwa nje ya mtandao wakuu bei yake ni Tshs 25000 kwa tray ya mayai 30 ndugu

Mkuu unatuchanganya.
Mpaka sasa hatujui bei ipi ni sawa manake zote zinatofautiana.
Sema usikike. Tshs 20,000 au Tshs 25,000?
 
Nilianza na Tshs 25,000 kwa sasa nimeshusha bei iko Tshs 20,000/ kwa tray pole kwa mkanganyiko.
Ahsnate

Mkuu unatuchanganya.
Mpaka sasa hatujui bei ipi ni sawa manake zote zinatofautiana.
Sema usikike. Tshs 20,000 au Tshs 25,000?
 
Nafikiri inawezekana ila mimi sijawahi kujaribu hiyo lakini unaweza kujaribu nakuona matokeo yake maana mambo mengi ukifanya utakuwa kwenye position ya kusema


mimi nataka yaatamiwe na kuku wangu nizalishe na mm
 
Nafikiri inawezekana ila mimi sijawahi kujaribu hiyo lakini unaweza kujaribu nakuona matokeo yake maana mambo mengi ukifanya utakuwa kwenye position ya kusema



quote_icon.png
By Kifulambute
mimi nataka yaatamiwe na kuku wangu nizalishe na mm


 
Wadau habari za leo, kwa kweli leo nilipenda wale ambao wametumia mayai haya ya kware na wameona yamewasaidia katika kuimarisha afya zao kama chakula bora leo ningependa kama wadau mpo umseme maana kila siku huwaga napata feedback wa watu mbalimbali ningependa kupata na hapa ili nione kama iko consistency na vile ninavyosikia ahsante
 
Kwa wadau ambao wanapenda kula mayai haya ya kware yakiwa mabichi siku za hivi karibuni nimerajibu nami nikaweza nilikuwa na struggle sana kwahiyo nikaishia kula ya kuchemsha ila sasa naweka asali kidogo unayagonga humo ni matamu ajabu jaribu uone.
 

Attachments

  • Banda nyuma ya nyumba - Copy.jpg
    Banda nyuma ya nyumba - Copy.jpg
    68.7 KB · Views: 132
  • Simple quail cage.jpg
    Simple quail cage.jpg
    17.9 KB · Views: 115
  • Ufugaji wa mkubwa.jpg
    Ufugaji wa mkubwa.jpg
    14.5 KB · Views: 114
Maya ya kware na asali yanavyosaidia watu wenye gesi nyingi tumboni, kama unaweza kula mabichi unachanganya na asali kidogo mtu aliyekuwa na gesi kubwa sana tumboni amenieleza kuwa imeisha naamini ukiweka na mazoezi siku hizi amenieleza alikuwa na shida ya kupata choo ila sasa anapata choo mara mbili na akajua kuwa kumbe gesi ilikuwa inyima hata kupata choo naamini madaktari wanaweza kutueleza zaidi ila hii inaonyesha kuwa mayai haya ni chakula bora na kinaanzia hata kwenye mfumo wa chakula
 
Mayai ya kware yanauwezo mkubwa sana kama chakula kuondoa gasi mwilini kwa wale ambao wanasumbuliwa na kujaa gasi tumboni unaweza kujaribu uone jinsi gani chakula hiki kinasaidia
 
Kila mtu atakula kutokana na juhudu za nguvu zake kwa maana kusalisha kukote kunahitaji mali tuongeze nguvu na ujuzi katika mapambano yetu
 
Quail eggs are packed with vitamins and minerals. Even with their small size, their nutritional value is three to four times greater than chicken eggs. Quail eggs contain 13 percent proteins compared to 11 percent in chicken eggs. Quail eggs also contain 140 percent of vitamin B1 compared to 50 percent in chicken eggs. In addition, quail eggs provide five times as much iron and potassium. Unlike chicken eggs, quail eggs have not been know to cause allergies or diathesis. Actually they help fight allergy symptoms due to the ovomucoid protein they contain.
 
Regular consumption of quail eggs helps fight against many diseases. They are a natural combatant against digestive tract disorders such as stomach ulcers. Quail eggs strengthen the immune system, promote memory health, increase brain activity and stabilize the nervous system
 
Why are Iron and Potassium (minerals) essential to the human diet? Iron deficiency can result in anemia. Iron is essential in binding to protein and carrying oxygen in the blood. Pre-menopausal women and children are most susceptible to Iron deficiency. An Iron deficiency begins via the main regulatory mechanism of Iron, situated in the gastrointestinal tract. When Iron is not absorbed there, deficiency /anemia can result
 
Quail eggs, providing 5 times the Iron to a chicken egg are simply a far superior source in so small a portion. Potassium when mildly deficient in humans typically shows no symptoms...However when symptoms do arise from a lack of Potassium intake they can present in the form of muscle weakness, muscle cramps and or constipation. The main way we loose Potassium is through excessive fluid losses such as sweating, polyuria (urinating a lot due to medications or diuretics such as caffeine intake) and by fluid losses from being sick (vomiting and such).
 
Back
Top Bottom