Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Mayai ya kware yanapatikana bei poa. nunua ujaribu....
utapata mabadiliko ya afya....
utayapenda... bei ni 12,000/= kwa trey. call 0779420000.
nipo dar kinondoni.
 
Haya! kwa wenye matatizo ya upungufu wa kinga, changamkieni fursa
 
Piga namba hizi 0682169798, 0754436126 kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga vya Kware, Kware kwa ajili ya nyama/kitoweo pamoja na ushauri wa ufugaji wa Kware na biashara ya Kware kwa ujumla.
 
Mkubwa nitakupigia nimeshachukua number yako ya voda!

Nitafutie na ndege kanga nahitaji!
 
Kware hawawezi kusepa kweli au nao unaweza ukawazoesha wakawa kama kanga maana kware wajanja wajanja sana yaani vifaranga vyake ukivichanganya na kuku inakuwa ngumu kuvitofautisha kama vimetotolewa siku moja lakini baada ya siku kadhaa vinakuwa viota manyoya na kuanza kuruka (ni swali tu la ufahamu naomba nifahamishwe)
 
Piga namba hizi 0682169798, 0754436126 kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga vya Kware, Kware kwa ajili ya nyama/kitoweo pamoja na ushauri wa ufugaji wa Kware na biashara ya Kware kwa ujumla.

Huyu hafugiki na ni nyara ya serikali.
 
The Quail is considered a very promising ‘’micro Poultry-farm’’ species for rural and urban development because it requires little capital, equipment, space and labor, and provides an inexpensive, readily available and high quality meat and eggs. From prehistoric times, it has been raised for food in Japan and America. Quails are now also reared for meat and eggs in different countries of America, Asia and Africa.
 
Mayai haya yanaweza kuliwa kama mayai ya kawaida na vile vile yanawezwa kuotengenezewa vitu mbalimbali angalia picha hapo chini kwa manufaa yako
 

Attachments

  • Australian eggs balls.jpg
    Australian eggs balls.jpg
    58.3 KB · Views: 95
  • Egg ball in chine.jpg
    Egg ball in chine.jpg
    23.3 KB · Views: 95
  • Mishikaki ya kware.jpg
    Mishikaki ya kware.jpg
    10.2 KB · Views: 100
Mayai ya kware ni chakula bora kilicho na nutrient 78 na kati ya hizo 31 hazimo kabisa kwenye mayai ya kuku.

Karibu.
 
HEALTH BENEFITS OF QUAIL EGGS
  • Remedy against digestive tract disorders such as gastritis, stomach ulcer and duodenal ulcer,
  • can help cure aneamia increasing haemoglobin level and remove toxins and heavy metals from the blood,
  • treatment of tuberculosis, bronchial asthma, diabetes and vegetative vascular dystonia,
  • strong anti-cancer effects and helps inhibit cancerous growth,
  • help eliminate and remove stones from liver, kidneys and gall bladder,
  • accelerates recuperation after blood stroke and help strengthen heart muscle,
  • powerful stimulant of sexual potency, they nourish the prostrate gland with useful substances and therefore help restore sexual potency in men,
  • promote good memory, enhance brain activity and regulate the nervous system,
  • strengthen the immune system,
  • slow down again of organs and increase life span,
  • improve skin colour and strengthen hair making it shiny and voluminous, thus it is used for facial and hair care masks.
 
They taste pretty similar to chicken eggs but they have a higher yolk to white ratio,
 
mayi ya kware ni muhimu kwa wafya yako kutokana na nutrients zilizopo ambazo zinafanya mwili wako kuwa dhabiti katika kupambana na magonjwa
 
Kutokana na nutrients 78 za katika yai la kware inasaidia kuiweka afya yako njema na kati ya hizo 31 hazipatikani kwenye kuku pata chakula hiki bora kwa ajili ya afya yako
 
Kwasababu ya its restorative power kwenye cell mbalimbali za binadamu ndio maana mayai haya yanatajwa kuwa moja ya chakula bora kwa makuzi na kuimarisha ubongo kwa binadamu
 
Kwa kweli ukiendelea kujifunza jambo utaendelea kupata moja mbili mayai ya kware ni moja ya chakula muhimu sana kwa watoto Japan kinashauriwa watoto na mama wajawazito wale ili kutengeneza ubongo wa mtoto uwe vyema na ni moja ya nchi ambayo inawafuga sana wanyama hawa
 
Kware ni jamii ya ndege Pori, kwa maana ukimuacha huru kama kuku yeye huwa harudi. Kwa hiyo ni ndege anayepaswa kufugwa akiwa ndani ya Banda muda wote na siku zote. Na kwa sababu hii, si vyema kuwachanganya na kuku kuepuka usumbufu huu. KARIBU BROTHER!
 
Kware ni jamii ya ndege Pori, kwa maana ukimuacha huru kama kuku yeye huwa harudi. Kwa hiyo ni ndege anayepaswa kufugwa akiwa ndani ya Banda muda wote na siku zote. Na kwa sababu hii, si vyema kuwachanganya na kuku kuepuka usumbufu huu. KARIBU BROTHER!
 
Back
Top Bottom