Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Utamu wa mayai haya sio tu ni kuna yana nutrients nyingi kuliko za kuku bali hata ratio yake ya kiini na maji ni kubwa na hivyo kuyafanya yawe matamu zaidi
 
Wiki hii nilibahatika kwenda sehemu moja ambayo kuna jamaa alishauriwa kutumia mayai ya kware kwasababu alikuwa ana gout miguu na mikono ilikuwa imejaa sana na kuvimba ila baada ya kutumia chakula hiki bora kwa wiki mbili miguu na mikono imeisha ile uvimbe na maumivu yamepungua sana kiasi kwamba anaweza kutembea bila shida, kweli mayai haya ni chakula bora kwenye afya zetu hata kwa matatizo ambayo mengine tumejitakia kwasababu ya ulaji mbaya unarestore cell za mwili na kuimarisha kinga
 
inaendelea kunishangaza kila siku chakula chenye manufaa mengi kama hiki tulikuwa wapi siku zote hatukijua jaamani kweli kwenye ulimwengu wa mtandao hatutakiwi kuwa nyumba tupate maarifa tutumie vitu vyema kwa maendeleo mema ya afya yetu
 
Naamini mpaka sasa umepata kusikia faida za mayai ya kware na nyama yake nayo haina mafuta na ni tamu ukihitaji tafadhali piga 0788-318671 bei yake ni Tshs 10,000 kwa mmoja. Ahsante
 
Attachments

  • Avatar jf.jpg
    Avatar jf.jpg
    7.5 KB · Views: 459
yoyote anayehitaji kware aweke order mapema. nataka.niweke mayai kwenye enccubetor. bei ni 4000 wa week 1.
contact 0779420000.
 
Piga namba hizi 0682169798, 0754436126 kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga vya Kware, Kware kwa ajili ya nyama/kitoweo pamoja na ushauri wa ufugaji wa Kware na biashara ya Kware kwa ujumla.[/QUOT

Ivi ni kweli kwamba unalazimika kua na kibali kuwafuga hawa ndege toka wizarani?
 
habar nilizo pata now wapo free kufuga
 
Kutokana na nutrients nyingi zilizopo kwenye mayai ya kware jumla ya 78 inampa mtu anayatumia kupata afya njema kwenye viyai vidogo hivi
 
Back
Top Bottom