Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Bei zinatofautiana kutoka kifaranga cha wiki moja hadi kile cha wiki nne, na Kware mkubwa nae ana bei yake pia.
 
Sawa ndugu JF Karibu... Bila shaka na Kanga ninaweza kukusaidia namna ya kuwapata.
 
Bei tu iwe nzuri..tatizo la sisi wabongo tunataka tuwe mamilionear kwa siku moja..you have to set a fairly price ili kutengeneza patnership then mwisho wa siku soko lako linakua
 
Mayai haya ni matamu kwa kuwa yana kiini kikubwa kuliko ute na hivyo yana utamu sawia
 
Japan na China wanafuga mno Australia kuna mfugaji huyo ana export to Europe kama kware lakin moja kwa wiki
 
Kutokana na chakula hiki kinavyosaidia mwili watu wengi sana wanapenda kukiita hiki ni dawa ila mimi naendelea kusimamia pale pale kuwa hiki ni chakula bora tumia mara kwa mara kuujenga mwili wako ndio maana waswahili tunamsema wetu bora kinga kuliko tiba jitunze vyema kwa kula vizuri
 
ndugu Libobo, bei ziko vizuri tu za kijasiriamali zaidi... Nicheck kwenye hizo namba...
 
ndugu Libobo, bei ziko viuri tu za kijasiriamali zaidi... Nicheck kwenye hizo namba...
 
Leo nimepata hadithi moja kuhusu mayai ya kware nikaona nayo si vibaya kushare kuwa kwa watu ambao wanahitaji sana kuongezewa calcium zaidi kwa kuwa maganda yake ni so soft watu huchukua mayai na kubrend pamoja na kutumia kama chakula bora
 
Kware hupendelea sana kula vyakula vyenye protein nyingi na hambavyo havina mafuta sana ili kuweza kuzalisha mayai yenye ubora
 
Mayai ya kware yanakusaidia katika kurahisisha usagaji wa chakula na kucontrol acid tumboni
 
Kwa wale wenye allegy ya samaki na kuharibika ngozi hii wanasaidia kurudishia mwili vyema katika chakula hiki kizuri
 
Mayai haya yanaweza kuchemshwa, kukaangwa au kweka ndani ya vitu mbalimbali kama yanavyotengenzwa mayai mengine angalia picha hapo chini
 

Attachments

  • Australian eggs balls.jpg
    Australian eggs balls.jpg
    58.3 KB · Views: 149
  • Mishikaki ya kware.jpg
    Mishikaki ya kware.jpg
    10.2 KB · Views: 141
Back
Top Bottom