Kuna tofauti kidogo katika mabanda hawa unaweza kuwafuga hata katika cages au vibanda vidogo vidogo na chakula chao ili waweze kutoa mayai bora kinahitaji kiwe na wingi wa protein kama 30% kwahiyo unachukua cha kuku unaongeza vitu kama soya au mashudu ya alizeti na any other source ya protein unayoweza kuijua ispokuwa usiwape nyama au damu za mifugo mingine.