Haina noma mkubwa. Ngoja nimalizie kuweka fens then ntakushtua.ninahitaji haobwa wiki nne majike 25 na madume 10 kwa kuanzia.
Na vipi hao wa wiki 4 wanahitaji joto au nawaingiza bandari tu? Hiyo breed yako ni ya wapi mkuu?nimejaribu kufuatilia katika net wanasema breed nzuri ya mayai ni ya china na breed nzuri ya nyama ni ya japan kama sijakosea.
Ndege kwere,mayai ya kware niwanyama tofauti,else warekebishe heading kablasijakumwagia odayamayai
Mayai ya kwale au Quail eggs sasa yanapatikana tena kwa wingi Tshs 25,000 kwa tray tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0788-318671 au PM Ahsante. Karibuni
Mayai haya ni mazuri kwa afya yako pata kwa kuimarisha afya yako. Napata elimu zaidi kwa ku google na kusoma kutoka kwenye sehemu mbalimbali uone na kujifunza uzuri wake.
Tunafanya door to door delivery ya mayai ya Kwale na Vifaranga kwa wakazi wa Dar es salaam na Bagamoyo toa order yako sasa pamoja na mawasiliano.
Vifaranga shilingi 2,800
Mayai 30 (trey) shilingi 18,000
Asante
Mkuu,thanks kwa bandiko lako lenye link maridhawa!ila kwa Watanzania bado sana kujua umuhimu wa haya mambo,ukweli ni kua Watanzania bado tumelala kila nyanja,tunachofurahia ni porojo,kulalamika na siasa!kila kitu tunabaki wenzetu Wakenya,still hatujifunzi zaidi ya kukatishana tamaha,hata kwenye hii link ya KWARE nimeona jinsi Wakenya walivyo serious
Nahitaji ndege kware or quail call 0779420000
Tunafanya door to door delivery ya mayai ya Kwale na Vifaranga kwa wakazi wa Dar es salaam na Bagamoyo toa order yako sasa pamoja na mawasiliano.
Vifaranga shilingi 2,800
Mayai 30 (trey) shilingi 18,000
Asante
Nahitaji mwezi ujao my no 0765007753
namimi mkuu ukipata nipigie pande nawahitaji hao kwale