VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Hivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? 😀 😀 😀 😀