VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
- Thread starter
- #21
Kwanza angalia jukwaa, af pia nadhani inategemea na aina ya ndege.Kabla hujaamua kuandika huu Uzi ushafikiria hata Ku Google Tu how airplanes are fueling on air
Kwanza angalia jukwaa, af pia nadhani inategemea na aina ya ndege.Kabla hujaamua kuandika huu Uzi ushafikiria hata Ku Google Tu how airplanes are fueling on air
Kwani mume wako umemuuliza nae anasemaje juu ya hilo? Au nae ni walewale kama wewe?Hivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? 😀 😀 😀 😀
InaangukaHivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? 😀 😀 😀 😀
Mshana na wewe umeharibu. Kumbuka hili jukwaa ni la Jokes. Nilitegemea utuambie marubani wanapotoa madumu na kununua mafuta kwa wenzao(kama wanavofanyaga madereva wa maroli)Inaanguka
Ndege na mwanaume wapi na wapi! Una akili au ugolo tu! Tumia kichwa, matako yaachie kazi yakeKwani mume wako umemuuliza nae anasemaje juu ya hilo? Au nae ni walewale kama wewe?
Sawa dada yangu ila husiwe na hasira, mimi nimeuliza tu baada ya kukuona binti mkubwa kama wewe ambae umeshamwagiwa sana juice ya camasi alafu unauliza maswali ya kishoga-lileNdege na mwanaume wapi na wapi! Una akili au ugolo tu! Tumia kichwa, matako yaachie kazi yake
Jike zima unauliza maswali ya joke, siuende ukamuulize mume-oMshana na wewe umeharibu. Kumbuka hili jukwaa ni la Jokes. Nilitegemea utuambie marubani wanapotoa madumu na kununua mafuta kwa wenzao(kama wanavofanyaga madereva wa maroli)
Msaidie siyo kila mtu anajuaHicho ulichovuta na mimi naomba!
Haitokei kuishiwa mafuta hewani sababu kabla haijaruka inaandaliwa mpango kazi wa safari husika. Inaitwa flight plan.Hivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? 😀 😀 😀 😀