VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Hicho ulichovuta na mimi naomba!Hivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? 😀 😀 😀 😀
Nilitaka nikurupuke , nikakumbuka kuangalia jukwaa nikachekaHivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? 😀 😀 😀 😀
Itakuwa wanapack pembeni ili zisigongane halafu anachukua kidumu kwenda kujazaHivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? 😀 😀 😀 😀
Hahahahahaha ungenionea bure tuNilitaka nikurupuke , nikakumbuka kuangalia jukwaa nikacheka
Hakika mkuuHahahahahaha ungenionea bure tu
Akiona mshare unakaribia pabaya, anaruhusiwa kushusha kiwanja cha karibu yake. Mfano anatoka Dar Kwenda mwanza, anaweza shuka hata Dodoma ili anywe tena.Hivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? 😀 😀 😀 😀
I kama tu Ukiwa unapiga Mashine, mtambo ukimwea unachomoa unajilaza pembeni unavutia hisia upyaHivi, nimewaza,
Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? 😀 😀 😀 😀
Unataka na wewe?Hicho ulichovuta na mimi naomba!
Mafuta ya ndege ni mafuta ya taa kama ulikuwa hujuiAf pia, watu wanaoendesha vyombo vikubwa huwa na tabia ya kuuza mafuta wawapo safarini. Vipi ma rubani! Wanauzaje maana mafundi simu wote wana mafuta ya ndege, na vituo vya hayo mafuta havipo mtaani!
Si kweli. Nataka nione Fast Jet basi. Hizo sizitakiNadhani umepata idea