Ila ujanja ujanja huwa una mwisho wake mkuu!!!Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
Kunguru mjanja huishia kwenye mdomo wa mamba.Ila ujanja ujanja huwa una mwisho wake mkuu!!!
Mbona hii sekali imekua kigeu geu? Ina maana ile account ya social media itafungiwa na mmiliki kukamatwa?PIPA LANYANYUKA MAREKANI. Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli. Shime shime tukaipokee ndege pale Terminal 1
Update
22:12 Marubani wanakunywa Chai
Umbwa mnapata tabu sanaKunguru mjanja huishia kwenye mdomo wa mamba.
Hata tetea huwa wanajua kuwa kumekucha lakini jogoo ndiyo mwenye mamlaka ya kutangaza.Mbona hii sekali imekua kigeu geu? Ina maana ile account ya social media itafungiwa na mmiliki kukamatwa?
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
[emoji830]︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
[emoji830]︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
[emoji830]︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
Hii sababu imekosa viwango vyote vya welediNdege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
[emoji830]︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
[emoji830]︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
[emoji830]︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
Hawakuwa na uhakika wa mwenye nazo kuweza zipokea. Hata kesho akiwa hayuko vizuri itafichwa Zanzibar au Madagascar hadi aponeWamsafishe yule waliyemuita muongo
Sio mabeberu tena?Umbwa mnapata tabu sana
Darubini a. k.a.local televisheni zimeangaliwa sawasawa, isije kuwa Mashangazi wakaleta moshi wa kisulisuli tena hapo kesho tukatafuta pakupitia.Mpokeaji kapona. Vinginevyo lingebaki huko huko
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo
▪︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
▪︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
▪︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780