ZULUECO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 587
- 233
Sana,,wala hawa sio watanzania..wamejawa na wivu utafikiri ndege ni za familia ya magufuli...jamii forum inachosha mno,, huku ni mkusanyiko wa kakikundi cha wahaini...Mkuu;
Wala usipoteze muda kujenga hoja kwa watu kama hawa!
Kumbuka ukijibishana na mpumbavu kwenye upumbavu wake na wewe utaonekana mpumbavu!
Ni ushauri tu! Samahani kama nitakukwaza!