Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Mkuu;
Wala usipoteze muda kujenga hoja kwa watu kama hawa!

Kumbuka ukijibishana na mpumbavu kwenye upumbavu wake na wewe utaonekana mpumbavu!

Ni ushauri tu! Samahani kama nitakukwaza!
Sana,,wala hawa sio watanzania..wamejawa na wivu utafikiri ndege ni za familia ya magufuli...jamii forum inachosha mno,, huku ni mkusanyiko wa kakikundi cha wahaini...
 
Mkuu, tafuta kamba ukajitundike. Dude ndo limeshatua na kupokelewa rasmi hapa Mwl Nyerere International Airport.
Acheni ushamba nyie dude limetuwa fedha ya umma hiyo ukijuwa pia kuna wizi na rushwa imekatazwa CAG asikaguwe mujitundike nyie Kamba make mutafungwa kuliko hata Seth na Ruge Alisa wezi wakubwa nyie washamba wa head munadharilisha nchi
 
Siku hizi hatulioni likikatiza angani, sijui linamuogopa mkulima?
 
Back
Top Bottom