Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

PIPA LANYANYUKA MAREKANI. Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli. Shime shime tukaipokee ndege pale Terminal 1

Update
22:12 Marubani wanakunywa Chai
Saaafiii sana kama upo karibu na Raiya no 1Tanzania tafadhali mnong'oneze akaze buti asisikilize sauti zinazomwita nyuma zitampoteza njia hizo speed anayokwenda nayo ya ndege ahamishie na chini kwenye reli kama inavyoanza ya Dar ,Dodoma atandaze chuma kipya dar, kigoma azunguke kote hakuna nchi inayotakua kukuwa kiviwanda bila usafiri wa Treni na Ndege hakuna Duniani asikatishwe tamaa Mungu atamsaidia na ipo siku hawa hawa wanaopiga kelele watamkumbuka tuombeane uzima
 
Sasa umeanza vyema unamalizia kwa kulaumu kama ilivyo kawaida yetu hayo madaraja kuvunjika hayo ni mabadiliko ya Tabia nchi yanaporomoka magorofa china huko kwenye teknolojia kama yote seuse sie kwa hiyo ulitaka ndege irudi ilipotoka ama
Kama tungekuwa na mawazo mbadala ya kutengeneza bara bara kwa kuunganisha Tanzania yote lingekuwa jambo Bora Zaid

Tungefungua wigo mashirika binafs ya ndege yawekeze tz vya kutosha tupunguze Kodi

Ili baadae bara bara hzo zi zae madege haya
Tuyaonao.hv inakuwaje unapokea ndege ili Hari mikoa ya kaskazn haipitik kwa usalama si fedheha hz
 
Kwani fedha ni za baba yake yaani kodiyangu na wananchi mwingine Mtu atambie nyie mbona washamba sana
Mkuu, tafuta kamba ukajitundike. Dude ndo limeshatua na kupokelewa rasmi hapa Mwl Nyerere International Airport.
 
Una mawazo finyu sana....kwa uwezo huo wa kufikiria sidhani hata kama unaweza kuikomboa familia yako kwenye umaskini
Hahaha ndege wafaidi wao nyie mnajisifia eti zenu, halafu mnajiona mnaakili sana.
 
JPM na uongozi wake ni Game changer kwa Tanzania ukubali usikubali, JPM kakaza buti. Nimeona mwakilishi wa USA akiongea Kiswahili pale kama alivyofanya Balozi wa Canada. Wapinzani watamwelewa tu. Ni aibu kwa vyama vya upinzani hasa Mbunge wa Ubungo kutokuhudhuria mapokezi haya na sasa Ubungo watapata Hospitali ya wilaya ni aibu kwa wapinzani feki wanaoangalia matumbo yao zaidi. Natumaini kumwona mbunge huyo kupanda ndege za ATCL. Shame on you.
 
inachagiza maendeleo inabeba tani kama zote fursa iyo ikianza safari tuchangamkie fursa nasi tuangalie tunawalisha nini wazungu tuache kulalamika
 
Screenshot_20191027-064238.png
Screenshot_20191027-065102.png
Screenshot_20191027-064317.png
Screenshot_20191027-064040.png
Screenshot_20191027-065453.png
Screenshot_20191027-064437.png
Screenshot_20191027-065506.png
Screenshot_20191027-065522.png
Screenshot_20191027-065328.png
Screenshot_20191027-065528.png
Screenshot_20191027-064948.png
Screenshot_20191027-065627.png
Screenshot_20191027-064205.png
Screenshot_20191027-065720.png
Screenshot_20191027-064031.png
 
Aise afrika nzima hakuna ndege kama hiii zaidi ya tzzzz

Ova
 
Utaamini uliyoambiwa na watu wasioaminika, bashite, jiwe etc!
Nimeifuatilia ndege toka inaondoka US mpaka inafika hapa hakuna sehemu ilisimama kujaza mafuta
 

Attachments

  • IMG-20191025-WA0241.jpg
    IMG-20191025-WA0241.jpg
    86.9 KB · Views: 1
  • IMG-20191026-WA0012.jpg
    IMG-20191026-WA0012.jpg
    17.6 KB · Views: 1
  • IMG-20191026-WA0093.jpg
    IMG-20191026-WA0093.jpg
    87.5 KB · Views: 1
  • IMG-20191026-WA0022.jpg
    IMG-20191026-WA0022.jpg
    30.3 KB · Views: 1
  • IMG-20191026-WA0095.jpg
    IMG-20191026-WA0095.jpg
    77.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom