Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Saaafiii sana kama upo karibu na Raiya no 1Tanzania tafadhali mnong'oneze akaze buti asisikilize sauti zinazomwita nyuma zitampoteza njia hizo speed anayokwenda nayo ya ndege ahamishie na chini kwenye reli kama inavyoanza ya Dar ,Dodoma atandaze chuma kipya dar, kigoma azunguke kote hakuna nchi inayotakua kukuwa kiviwanda bila usafiri wa Treni na Ndege hakuna Duniani asikatishwe tamaa Mungu atamsaidia na ipo siku hawa hawa wanaopiga kelele watamkumbuka tuombeane uzimaPIPA LANYANYUKA MAREKANI. Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli. Shime shime tukaipokee ndege pale Terminal 1
Update
22:12 Marubani wanakunywa Chai