Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Kama hizi ndege zina faida kwa nini CAG hapewi access kuzifanyia auditing ,, tunaogopa nini kama zinaingiza faida?? , tunamficha nani???
 
Uchizi sio mpaka uvue nguo bali hata hivyo ulivyo ni dhahiri kuwa wewe ni chizi. Endelea ivo ivo

Serikali inayosema uongo kila siku,nikisema ni serikali ya liars then mimi nishakua chiZi?

Kwahiyo kwa definition yako ya kimatako ya CCM anae point out what govt does ni chizi?

Serikali inasema uongo usiku na mchana,just refer anachosema Kamwelwe na yule wa youtube channel na Msemaji wa Serikali na Gerson Msigwa,full of lies!

Niki-point out huo uongo wa serikali then nakua "chizi"?

Kidudu wewe
 
Sasa huyu bashite anaongea upumbavu gani huu.halafu hi tabia ya kukopi maneno ya vitabu vitakatifu huku nyuma ya pazia wanaua watu ndio maana mabalaa yanawaandama.
 
Vijana hawana ajira
mazao yamekosa masoko
Pembejeo bei ipo juu
Wakulima wa korosho hawajapewa malipo yao
Watu wanatekwa wanauwawa
Democrasia hakuna
Mifuko ya sument bei ipo juu
mwaka wa nne watumishi hawapandishiwi mishahara
Wananchi wanakunywa maji ya madibwi
Biashara zimevunjwa miguu
Viwanda 4000 hewa vimejengwa
Unazani kuna mtu wa kufurahia hizo ndege mtabakia nyinyi wa buku saba kusifia

Kuna kitabu kinaitwa :A CREATURE FROM JEKLY ISLAND" kitajibu maswali yako yote: kama unadhan Tanzania ni mbaya nenda kenya ndo utajua maisha yapo juu kiasi gan
 
Boss PseudoDar186 Una Point na Hoja ya kujibiwa iwapo mimi Si Msemaji wa Jamhuri na Serikali wala Ikulu.

Ila najua kuna siku Rais alisema kuna Mambo Tanzania yanachelewesha Maendeleo, Mlolongo wa Hatua.
Kuhusu Jamhuri aka Serikali kumiliki ATCL si kweli, nachojua mimi ni Serikali imeipa pesa na kuliwezesha Shirika kufufuka na kujiendesha. Serikali limeinunulia Ndege Shirika, ni kama Shirika limekopa Serikalini.
Kuhusu usiri wa mapato, mimi si msemaji wake.

Ila hata kama yote hampendi, imefikia kweli hata kuombea mabaya Ndege zetu??? !!! Kuombea Ndege zishikwe kweli??? !!!

Mimi personally sijawahi ‘ombea’ mabaya ndege zetu. Mimi najiombea mwenyewe na familia yangu.

I cannot imagine mTanzania akiombea mabaya ‘ndege’. It’s ridiculous. Kwanza, serikali na miradi yake hayaendeshwi kwa ‘dua’ za waTanzania. Serikali haina dini. Serikali haimini uwepo wa Mungu.

Ni Sawa na kusema eti ujenzi wa reli umesimama kwa sababu ya dua ya baadhi ya waTanzania. NO. Ujenzi ukisimama ni kwa sababu ambazo zinajulikana na kuonekana; mf. Contractor hajalipwa, mvua zimekuwa nyingi, etc.

Mbona hakuna mtendaji yeyote wa Serikali akiwa anapokea za uso kutoka kwa Rais kuhusu miradi anayosimamia athubutu kusema kuwa ‘Mh. Rais mradi umesimama kwa sababu ya dua mbaya za baadhi ya waTanzania’!

The government is not religious or spiritual. Nor are it’s departments or projects. Simple.
 
Kilichotakiwa ni tension kwa wananchi na hasa wale Roho Mbaya, wanao tamani kusikia mambo mabaya kwa Taifa
Nakuona tayari ushapigia suti yako hapo uwanjani baada ya kubugia kimpumu
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Kutoka Marekani mpaka huku, haiwezi kula vichwa njiani angalau kufidia mafuta?
 
Kama tungekuwa na mawazo mbadala ya kutengeneza bara bara kwa kuunganisha Tanzania yote lingekuwa jambo Bora Zaid

Tungefungua wigo mashirika binafs ya ndege yawekeze tz vya kutosha tupunguze Kodi

Ili baadae bara bara hzo zi zae madege haya
Tuyaonao.hv inakuwaje unapokea ndege ili Hari mikoa ya kaskazn haipitik kwa usalama si fedheha hz
 
Ila ujanja ujanja huwa una mwisho wake mkuu!!!
Tulia wewe hata mjamzito akikaribia kujifungua hawezi mwambia kila mtu wengine wachawi,vijicho,husda hawakosekani mwacheni Rais afanye yaliyo ndani ya uwezo wake akimaliza miongo yake miwili atakuja mwingine ataendeleza gurudumu tatizo sisi tunajua kulaumu kuliko kupongeza hima tufanye kazi tuijenge nchi yetu
 
Back
Top Bottom