nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Ngoja wajuvi waje watupe taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri waweke sawa swala hiliNgoja wajuvi waje watupe taarifa
Tamshi la Kamwele linaweza kuwa mantiki, ila kwakuwa halijamsema mkulu wanaweza wakalipuuzaMpaka sasa kuna aliyekamatwa? Au TCRA wamempuuza Kamwelwe
Niliwahi kuuliza swali hivi nani uwa anafanya ukaguzi wa kila hatua kwenye uundaji wa ndege zetu?
Katika utengenezaji wa ndege yetu Canada Nani aliiwakirisha Tanzània kukagua kila hatua ya ujenzi?
Kuna mtaalamu wa masuala ya mauzo ya vifaa vya anga na majini amekuwa akieleza kwamba ndege hutengenezwa ndani ya siku 12 tu mpaka mteja anaondoka nayo, Hatua zote za utengenezaji inabidi mteja ama awe na mtaalamu mwakilishi kutoka nchini kwake kuona ufanisi wa Utengenezaji ndege, au kama nchi...www.jamiiforums.com
Leo imeibuka habari asubuhi kuwa kila aliyetangaza ujio wa ndege akamatwe, lakin gafla wanasema inakuja kuputia page ya Gerson Msigwa anasema dege linafika kesho,
Mchezo ulianza hivi kwenye page ya ATC waliandika ujio wa ndege yetu ,
Wana habari wakachota pale wakaanza kusambaza,
Nadhani kuna sintofahamu juu ya kufuta ujumbe ule na waziri akaibuka kusema kuwa wamezusha na wasakwe,
Lakin baadae tunaambiwa dege linakuja
Swali lililotoka kwa mdau
Ninasikia ndege imeondoka, Ila kwanini ndege ilikaa Moses Lake Airport kwa Muda bila kurejea PAE(Kiwandani)imerejea leo na Kuondoka? Na kwanini waziri anasema waandishi wa habari wakamatwe Kwa kusema kwamba inakuja ndege?
Mkuu barafu tunaomba Masada
View attachment 1244788
Britannica
Wamepoteza dira Mkuu achana naoBoss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.
Mkuu;Boss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.
Labda imefungwa engene za PWNiliwahi kuuliza swali hivi nani uwa anafanya ukaguzi wa kila hatua kwenye uundaji wa ndege zetu?
Katika utengenezaji wa ndege yetu Canada Nani aliiwakirisha Tanzània kukagua kila hatua ya ujenzi?
Kuna mtaalamu wa masuala ya mauzo ya vifaa vya anga na majini amekuwa akieleza kwamba ndege hutengenezwa ndani ya siku 12 tu mpaka mteja anaondoka nayo, Hatua zote za utengenezaji inabidi mteja ama awe na mtaalamu mwakilishi kutoka nchini kwake kuona ufanisi wa Utengenezaji ndege, au kama nchi...www.jamiiforums.com
Leo imeibuka habari asubuhi kuwa kila aliyetangaza ujio wa ndege akamatwe, lakin gafla wanasema inakuja kuputia page ya Gerson Msigwa anasema dege linafika kesho,
Mchezo ulianza hivi kwenye page ya ATC waliandika ujio wa ndege yetu ,
Wana habari wakachota pale wakaanza kusambaza,
Nadhani kuna sintofahamu juu ya kufuta ujumbe ule na waziri akaibuka kusema kuwa wamezusha na wasakwe,
Lakin baadae tunaambiwa dege linakuja
Swali lililotoka kwa mdau
Ninasikia ndege imeondoka, Ila kwanini ndege ilikaa Moses Lake Airport kwa Muda bila kurejea PAE(Kiwandani)imerejea leo na Kuondoka? Na kwanini waziri anasema waandishi wa habari wakamatwe Kwa kusema kwamba inakuja ndege?
Mkuu barafu tunaomba Masada
View attachment 1244788
Britannica
Kuna jambo walilificha pitia hapaKumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta Hii sababu imekosa viwango vyote vya weledi
Kungekuwa hakuna haja ya kupaniki baada ya taarifa..Wangeweka sawa kwa taarifa yao ingependeza sana, matokeo yake ndo haya sasa...!Wamsafishe yule waliyemuita muongo
Mbawa zake mbona Kama ziko upande? Zile terrible teen zimeisha store? Hii Ni ile ya nyongeza?Ila ujanja ujanja huwa una mwisho wake mkuu!!!
Niliwahi kuuliza swali hivi nani uwa anafanya ukaguzi wa kila hatua kwenye uundaji wa ndege zetu?
Katika utengenezaji wa ndege yetu Canada Nani aliiwakirisha Tanzània kukagua kila hatua ya ujenzi?
Kuna mtaalamu wa masuala ya mauzo ya vifaa vya anga na majini amekuwa akieleza kwamba ndege hutengenezwa ndani ya siku 12 tu mpaka mteja anaondoka nayo, Hatua zote za utengenezaji inabidi mteja ama awe na mtaalamu mwakilishi kutoka nchini kwake kuona ufanisi wa Utengenezaji ndege, au kama nchi...www.jamiiforums.com
Leo imeibuka habari asubuhi kuwa kila aliyetangaza ujio wa ndege akamatwe, lakin gafla wanasema inakuja kuputia page ya Gerson Msigwa anasema dege linafika kesho,
Mchezo ulianza hivi kwenye page ya ATC waliandika ujio wa ndege yetu ,
Wana habari wakachota pale wakaanza kusambaza,
Nadhani kuna sintofahamu juu ya kufuta ujumbe ule na waziri akaibuka kusema kuwa wamezusha na wasakwe,
Lakin baadae tunaambiwa dege linakuja
Swali lililotoka kwa mdau
Ninasikia ndege imeondoka, Ila kwanini ndege ilikaa Moses Lake Airport kwa Muda bila kurejea PAE(Kiwandani)imerejea leo na Kuondoka? Na kwanini waziri anasema waandishi wa habari wakamatwe Kwa kusema kwamba inakuja ndege?
Mkuu barafu tunaomba Masada
View attachment 1244788
Britannica
PIPA LANYANYUKA MAREKANI. Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli. Shime shime tukaipokee ndege pale Terminal 1
Update
22:12 Marubani wanakunywa Chai