Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

NAONAAAAA BAADHI YAO HUMU WAKIANZA KUTUBU NA KUFUNGA KWA KUDHARAU SERKLI YETU

BADO MSAMAHA WA MUNGU UKO KWA AJILI YENU. MNAPOMPINGA KIOMGOZI WA. NCHI NA WALIOCHINI YAKE MNAMPINGA MUNGU

KWA MAANA HIOOO MUNGU ATAWAONYESHA MAFAKIO MAPEMA KABISAAA HAPAHAPA DUNIAN KAMA ALIVYOWAONYESHA NDUGU ZAKE YUSSUF ATOWAACHA MFE MPAKA MWONE MAFANKIO YOTE YA MAGUFULI DK MPAKA 2025
 
Ndege hizi sio zetu, Nilisikia wakati wana kesi kule Afrika Kusini walisema iliyokuwa imekamatwa ni ndege ya RAIS.
Wewe unayesema ndege ZANU unapanda bure au unapewa punguzo ya nauli?

Haiwezekani ndege iwe YENU halafu Ulipie nauli, Imagine kweny Kuna daladal linapiga misele, Posta- Mwenge -Posta, ukipanda unalipa nauli?
Serious? Umemaanisha kabisa ulichoandika?
 
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo

[emoji830]︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
[emoji830]︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
[emoji830]︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
Tanzania
 
Serious? Umemaanisha kabisa ulichoandika?
Niko Very serious!
Wewe ndege hizi zikiwepo unafaidikaje? Hupandi bure, hupati discounted fair, na hata faida yake huioni, so unaitaje ndege yenu?

Kunatofauti gani Wakati ndege hazipo na leo zipo? Sio kwamba leo unaweza kutibiwa bure eti kwasababu ndege zipo, na huwezi kupunguziwa gharama kwenye public service yoyote kwa sababu ndege zipo.

Lakini kumbuka wenzako, kama wewe siyo mmoja wao. Wao hupanda BURE, Wanagwiana nyumba za serikali BURE na wakiuziana sio kwa uwazi ni kwa kificho. Wakiugua wanatibiwa bure. Sasa kwanini uziite ndege zetu? Hizi ndege ni ZAO WAO.
 
Niliwahi kuuliza swali hivi nani uwa anafanya ukaguzi wa kila hatua kwenye uundaji wa ndege zetu?

Leo imeibuka habari asubuhi kuwa kila aliyetangaza ujio wa ndege akamatwe, lakin gafla wanasema inakuja kuputia page ya Gerson Msigwa anasema dege linafika kesho,

Mchezo ulianza hivi kwenye page ya ATC waliandika ujio wa ndege yetu ,

Wana habari wakachota pale wakaanza kusambaza,

Nadhani kuna sintofahamu juu ya kufuta ujumbe ule na waziri akaibuka kusema kuwa wamezusha na wasakwe,

Lakin baadae tunaambiwa dege linakuja

Swali lililotoka kwa mdau

Ninasikia ndege imeondoka, Ila kwanini ndege ilikaa Moses Lake Airport kwa Muda bila kurejea PAE(Kiwandani)imerejea leo na Kuondoka? Na kwanini waziri anasema waandishi wa habari wakamatwe Kwa kusema kwamba inakuja ndege?

Mkuu barafu tunaomba Masada

View attachment 1244788
Britannica
Mabeberu siyo watu wazuri wataikamata
 
Everett [ Seattle} ilipotengenezwa ndege iko west Washington State na Moses Lake iko east Washington State upande wa pili wa Cascade mountains;; huko kuna kiwanja BOEING hukitumia kutest ndege!!!

Boss Ndinani Asante kwa maelezo zaidi.

Jambo usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza.
Watu sijui walijua labda Moses Lake ni State au Nchi nyingine, na Ndege ilitua hapo ikiwa njiani kuja Nyumbani Tanzania, ndipo iliposhikiliwa.
 
Boss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.
Usihangaike na wat waliochanganyikiwa na wewe utahesabiwa ni mmoja wao😂😂😂
 
Zitapiga ruti za ndani tu, zikitoka nje zimekwisha!

kama madala dala ya kitaa chetu, yanaanzia Yombo Kilakala kwenda nje ya mji, yanaamsha saa mbili usiku yanalizima kumi na moja liamba... hayana vibali, wala leseni, wala kadi ya gari...

Utalii wa ndani mwendo mdundo, tumesharariwa sana, tembeeni kifua mbaree!!
 
Au Mwenye ndege bado mgonjwa wanahisi hatoweza kuizindua kama wafanyavyo siku zote? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Britannica Huyo Waziri Kamwelwe kama nilimuelewa hoja yake, ni hivi; Siyo kwamba ndege haiji, tatizo hakutaka watu waseme mapema, ndiyo maana alisema " Nyie waandishi ndio mliandika andika habari ya ndege ikakamatwa kule Afrika Kusini" Point yake ni kwamba kuna wadai hawatakiwi kusikia habari hii, au kufahamu ndege inakuja, hasa kufahamu inakuja lini. Wanataka kuifanya iwe siri ili wale wabaya wao wasifahamu, ni lini hasa itaondoka, na ili wasije kuifuata nyuma au ikatua mahala waka lala nayo mbele. Hivyo ndivyo nilielewa, naweza kuwa nimekosea.

Kwasababu kuna viashiria vyote kwamba inakuja, kwanini hataki waseme au waandike juu ya ujio huo?

Au Mwenye ndege bado mgonjwa wanahisi hatoweza kuizindua kama wafanyavyo siku zote?
 
Au Mwenye ndege bado mgonjwa wanahisi hatoweza kuizindua kama wafanyavyo siku zote? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ugonjwa kitu cha kawaida kabisa miongoni mwetu, sijui wa level hiy kule juu wao ugonjwa wana uchukuliaje.
Ndio anaweza kuwa anaumwa, na wakasubiria akapona wakazindua, tatizo liko wapi?!
 
Yaani unamaanisha hio ndege mpya imeshikiliwa tena mkuu?
Boss Ndinani Asante kwa maelezo zaidi.

Jambo usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza.
Watu sijui walijua labda Moses Lake ni State au Nchi nyingine, na Ndege ilitua hapo ikiwa njiani kuja Nyumbani Tanzania, ndipo iliposhikiliwa.
 
Boss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.

Kawaambie hao wenye ndege wabadilike maana wao ndio sababu ya hii chuki.
 
Kwani bado tunadaiwa?
Ndege mpya iko angani mda huu licha ya baadhi ya viongozi kukanusha. Kumbe wanaogopa wanaotuda wasijekulikamata likutua huko makuu kujaza mafuta. Kesho litatua bongo

[emoji830]Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
[emoji830]Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
[emoji830]Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli.
View attachment 1244780
 
PIPA LANYANYUKA MAREKANI. Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli. Shime shime tukaipokee ndege pale Terminal 1

Update
22:12 Marubani wanakunywa Chai
Unamuhimiza nani akanyeshewe na mvua huko kipawa?
 
Back
Top Bottom