Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwani hamna kazi za kufanya?
Ahaa tutakuwa tumeshafika pale asubuhi na mapema kikosi kazi tukiweka mambo sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa tutakuwa tumeshafika pale asubuhi na mapema kikosi kazi tukiweka mambo sawa
Kwani wewe huyo si ndiye babako?Umbwa mnapata tabu sana
Hiyo lugha kwao bado ni ngumu sanaWamsafishe yule waliyemuita muongo
Au wamkamate na huyu aloleta huu uziWamsafishe yule waliyemuita muongo
Tatizo ni mkulima wa grapeBoss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.
Mkuu;
Wala usipoteze muda kujenga hoja kwa watu kama hawa!
Kumbuka ukijibishana na mpumbavu kwenye upumbavu wake na wewe utaonekana mpumbavu!
Ni ushauri tu! Samahani kama nitakukwaza!
Boss Gulwa Hivi mnapata Faida gani kufurahia Ndege yetu na zetu kukamatwa??? !!!
Unajua mimi bado sijafahamu !!!
Kwani ndege haiwezi kuruka moja kwa moja mpaka Tanzania bila kutua kuweka mafuta???? !!!
Tani 40 hivi za mafuta na masaa kama 17 tu hivi ya kuwa angani moja kwa moja.
Kwani Ndege ni za Mh. Rais Magufuli??? !!!
Hauoni na hamuoni faida Watanzania na Wananchi wengi wamepata ajira ??? !!!
Yaani kuanzia Dereva (Pilot) mpaka wahudumu ni WaTanzania, wawakilishi ni wachache sana (Boeing, Kampuni za Engine kama ni tofauti na Boeing).
Wafanyakazi wanaenda Boeing kwa Training na Workshop kibao, ujuzi unaongezeka,
Shirika lilikuwa Nusu Kaputi, limefufuliwa, bado kuna watu hawapendi.
Tubadilike Jomoni.
HayaDarubini a. k.a.local televisheni zimeangaliwa sawasawa, isije kuwa Mashangazi wakaleta moshi wa kisulisuli tena hapo kesho tukatafuta pakupitia.
Niliwahi kuuliza swali hivi nani uwa anafanya ukaguzi wa kila hatua kwenye uundaji wa ndege zetu?
Katika utengenezaji wa ndege yetu Canada Nani aliiwakirisha Tanzània kukagua kila hatua ya ujenzi?
Kuna mtaalamu wa masuala ya mauzo ya vifaa vya anga na majini amekuwa akieleza kwamba ndege hutengenezwa ndani ya siku 12 tu mpaka mteja anaondoka nayo, Hatua zote za utengenezaji inabidi mteja ama awe na mtaalamu mwakilishi kutoka nchini kwake kuona ufanisi wa Utengenezaji ndege, au kama nchi...www.jamiiforums.com
Leo imeibuka habari asubuhi kuwa kila aliyetangaza ujio wa ndege akamatwe, lakin gafla wanasema inakuja kuputia page ya Gerson Msigwa anasema dege linafika kesho,
Mchezo ulianza hivi kwenye page ya ATC waliandika ujio wa ndege yetu ,
Wana habari wakachota pale wakaanza kusambaza,
Nadhani kuna sintofahamu juu ya kufuta ujumbe ule na waziri akaibuka kusema kuwa wamezusha na wasakwe,
Lakin baadae tunaambiwa dege linakuja
Swali lililotoka kwa mdau
Ninasikia ndege imeondoka, Ila kwanini ndege ilikaa Moses Lake Airport kwa Muda bila kurejea PAE(Kiwandani)imerejea leo na Kuondoka? Na kwanini waziri anasema waandishi wa habari wakamatwe Kwa kusema kwamba inakuja ndege?
Mkuu barafu tunaomba Masada
View attachment 1244788
Britannica
Kamwelwe yule anaongozwa na jazba.Mpaka sasa kuna aliyekamatwa? Au TCRA wamempuuza Kamwelwe
Tamshi la Kamwele linaweza kuwa mantiki, ila kwakuwa halijamsema mkulu wanaweza wakalipuuza
Wanajua sema tu wameamuaWamesahau kua safari za ndege za abiria haziwezi kufichwa, kila route inayopita lazima iwe recorded.
Britannica Huyo Waziri Kamwelwe kama nilimuelewa hoja yake, ni hivi; Siyo kwamba ndege haiji, tatizo hakutaka watu waseme mapema, ndiyo maana alisema " Nyie waandishi ndio mliandika andika habari ya ndege ikakamatwa kule Afrika Kusini" Point yake ni kwamba kuna wadai hawatakiwi kusikia habari hii, au kufahamu ndege inakuja, hasa kufahamu inakuja lini. Wanataka kuifanya iwe siri ili wale wabaya wao wasifahamu, ni lini hasa itaondoka, na ili wasije kuifuata nyuma au ikatua mahala waka lala nayo mbele. Hivyo ndivyo nilielewa, naweza kuwa nimekosea.
Kwasababu kuna viashiria vyote kwamba inakuja, kwanini hataki waseme au waandike juu ya ujio huo?
Au Mwenye ndege bado mgonjwa wanahisi hatoweza kuizindua kama wafanyavyo siku zote?
Labda walihisi kuna mtu kawafuata nyuma hivyo wakatua Moses lakes kujificha, hawa watu akili zao kama zetu tu za hovyo hovyo.
Au katika majaribio walipata tatizo ndio walikuwa wanalirekebisha hapo Moses Lakes kabla ya kuirudisha kiwandani.
This time italetwa imefungwa kwenye BOX tena usiku, maana kuna kitu wanakiogopa, ila hatufahamu ni nini.Kila siku naona wanaambiwa humu dawa ya deni kulipa, lakini hawasikii.
Inashangaza kuona viongozi kuendelea kung'ang'ania biashara yenye hasara mpaka sasa hatujui faida inaingiza kiasi gani ni kama mtu aliyenunua gari ya kutembelea anatoa pesa mfukoni kujaza mafuta ndo mana watu hawataki hata kujiandikisha