Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Unachokosea kwenye comparison yako ni kwamba Boeing inposubcontract parts hizo siyo kuwa haina uwezo wa kuzitengeneza, inaweza kutengeza zote ndani kwa ndani bila kutegemea subcontractors. Lile queen of the sky lote limekuwa linatengezwa ndani ya Everrett kila kitu. Kwa Boeing, subcontractors hupunguza cost tu. On the other hand, CRJ iomeagiza vitu ambavyo haiwezi kuvitengeza yenyewe. Kwa majivuno ya wachina wangetaka watengene kila kitu chao wenyewe, lakini uwezo wao kwa wakati huu umeishia hapo.Kawaida hiyo angalia hii Boeing 787 dreamliner parts manufacturers
View attachment 2911815
Mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000 walidukua michoro mingi sana ya technology kutoka kwenye makampuni ya marekani na ya Ulaya kabla cybersecurity haijawa issue. Walikwama kutengeza injini za GE na RR, wakatuma spy mmoja kuja physically USA kama mwanafunzi chini ya Profesa aliyekuwa anashirikiana na GE lakini akakamatwa na mpaka sasa bado yuko jela.