Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Mbona kuna kiwanda kinatengeneza ndege Morogoro tu hapo!Hii taarifa ni nzuri sana na imetafsiriwa vizuri sana hivi hatuwezi sisi kama Nchi ya TZ tujaribu hata kuomba Nchi za viwanda waje wachukuwe hawa Engineer wetu walao wakajifunze kusafisha vyombo?! maana sisi kuyasema mazuri ya wenzetu tunajua sana yetu sasa kuyaendeleza hata tukianzishiwa ni mtihani sana jamani, inaumiza sana kwakweli.