Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Mbona kuna kiwanda kinatengeneza ndege Morogoro tu hapo!Hii taarifa ni nzuri sana na imetafsiriwa vizuri sana hivi hatuwezi sisi kama Nchi ya TZ tujaribu hata kuomba Nchi za viwanda waje wachukuwe hawa Engineer wetu walao wakajifunze kusafisha vyombo?! maana sisi kuyasema mazuri ya wenzetu tunajua sana yetu sasa kuyaendeleza hata tukianzishiwa ni mtihani sana jamani, inaumiza sana kwakweli.
Cheap labor tu kule inafuatwaSiasa hizi
Usa hadi apple wanatoa china
Usidanganyike na propaganda z kijinga… they need each other
Hata hizo logo za makers zimebaki kwenye patent na branding tu… China ndio super producer wa usa peoducts
Congress wamegoma?
Kama tatizo ni cheap labour wangeenda Nigeria au India wapo watu wengi sanaCheap labor tu kule inafuatwa
Na wewe ni Msemaji wa China kwa sababu ya ulevi na mahaba uliyonayo kwa China. Hongera sana kwa urai wako wa ChinaNaona umejigeuza kuwa msemaji wa boeing kwa sababu ya ulevi na mahaba uliyonayo kwa marekani. Hongera sana omba uraia kabisa mkuu.
Kawaida tuNi vizuri kila msomaji akaona hiyo ndege imetengenezwa kwa msaada wa kina nani. Tazama hapa critical components zinatoka kwa nani. Wachina wana mabawa, mkia, sehemu ya kukaa abiria na kifuniko cha radar cone. View attachment 2910801
Duh!...mikono ya mabeberu ipo.Ni vizuri kila msomaji akaona hiyo ndege imetengenezwa kwa msaada wa kina nani. Tazama hapa critical components zinatoka kwa nani. Wachina wana mabawa, mkia, sehemu ya kukaa abiria na kifuniko cha radar cone. View attachment 2910801
Ha ha ha! Kwa maana kwamba kiwanda kingeweza kuwa extension ya kiwanda cha Nyumbu pale Kibaha!Hapa hawajatengeneza ndege bado wamefanya assembling ya ndege
Kama gari linaunganishwa kwa vipuri kutoka makampuni mbalimbali sembuse ndege?saa nyingine mtumiage akili.Ni vizuri kila msomaji akaona hiyo ndege imetengenezwa kwa msaada wa kina nani. Tazama hapa critical components zinatoka kwa nani. Wachina wana mabawa, mkia, sehemu ya kukaa abiria na kifuniko cha radar cone. View attachment 2910801
Sasa unakasirika nini, si nimeonyesha critical components zimetoka wapi. Mbona asiyetumia akili ni wewe kukasirikia realityKama gari linaunganishwa kwa vipuri kutoka makampuni mbalimbali sembuse ndege?saa nyingine mtumiage akili.
Sijakasirika popote bali nimekushauri utumie akili.Sasa unakasirika nini, si nimeonyesha critical components zimetoka wapi. Mbona asiyetumia akili ni wewe kukasirikia reality
Kipi hicho ndugu yanguMbona kuna kiwanda kinatengeneza ndege Morogoro tu hapo!
hahahaaa tujiombee na sisi au sisi sio binadamu ?natamani siku moja nisike kuna ndege imetengenezwa uarabuni na mwarabu, hata kama ni ndege ya mabox tu. watapanda ndege za makafiri hadi lini hawa jamaa?
kiufupi inaitwa Assembling , au sio sahihi ?Unaposema imetengenezwa kwa msaada ni kama vile kuna wahandisi toka nje wamesaidia.
Kauli sahihi sema kuwa wametengeneza kwa vifaa tokea wapi.
Ila huo ni mwanzo usitegemee kuwa watabaki hivyo hivyo.
pro mvaa kobaz ktk ubora wako mnashabikia hamas kutwa hamuez ona mapunguf yenu huku bara la gizaKwanini usitamani tutengeneze sisi wa Tanzania hata kama ni za mabox tutapanda za wenzetu hadi lini?
wewe kama mla chai bila sukari , unanufaikaj hapo ?Safi, A320 family, B737 Family wamepata mpinzani...Boeing & Airbus wajue wanafukuzwa kimya kimya
unaguswa na mambo ya china , kwan ndo wakwe zetu kwakoWee jamaa unajua maana ya msaada ? Jinga kweli hili
kwann ungusw hivyo na mambo ya China , unalipwa ngap baba?Una ongea ujinga tu hata kwa vitu usivyo fahamu
wewe na hela zako usiwasumbue mabeberu , jitegemee uone ...Unajua maana ya msaada au unaropoka tu kufanya biashara na nchi fulani na baadae kusitisha kutokana na sababu zako ziwe za kiuchumi,kisiasa au kiulinzi huo ni msaada ?
Tusipangiane! Kwako sukari muhimu sio kwangu....wewe kama mla chai bila sukari , unanufaikaj hapo ?