Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

Hizo walizonunua hazina kazi zinapaki kama mwendokasi mbovu
 
Samia kaagiza ziwe za Zanzibar

Zanzibar ni mzigo mkubwa sana kwa Tanganyika

Nyerere alituuza utumwani kama ngamia
Ndo nilitaka kuuliza, Zanzibar wamenunua lini ndege? Au ndo zile za mwamba? Kama ni hivyo, haitoshi kuwa ni za JMT na kupokelewa na raisi wa JMT?

Tuendelee kulegeza macho tu, wana asili ya kifirauni hao
 
Kwani ziliagizwa ngapi! Mbona zinazidi tu kuletwa na wakati zilizopo zenyewe zinatuingizia hasara kutokana na ripoti ya CAG!!
 
Mbowe sio gaidi
 
Nchi nzima itazizima kwa makopo... we are stupid and rubbish!
Hivi na Sweden wanafanyaga hivyo wakinunua ndege?
Niliangalia delivery of CS300, south Korea na Nepal yaani waliopokea ndoge ni CEO wa shirika na wafanyakaz wa shirika
 
Znz inaunda shirika lake la ndege kwa hela za Tanzania... mpaka 2025 watakua na shirika lao la ndege .
Ccm watueleze huu muungano wanaoupogia debe una manufaa gani?
 
Njiwa mbili zinaenda kutua Zanzibar,si walisema zinaingiza hasara au ni private jet sio daladala
 
Znz inaunda shirika lake la ndege kwa hela za Tanzania... mpaka 2025 watakua na shirika lao la ndege .
Ccm watueleze huu muungano wanaoupogia debe una manufaa gani?
Ndege za Atcl kutua Zanzibar tayari ndege zimekuwa za Zanzibar na malalamiko juu. Mbona mnapenda kujipa stress za bure?!
 
Mimi huwa najiuliza hivi ni kero gani za muungano ambazo kila siku tunaambiwa zimetatuliwa kisirisiri maana juzi eais wa zanzibar na waziri Jafo walikuwa wakiongea na kupongezana kuhusu kutatuliwa kwa kero nyingi toka mama samia amekuwa rais, tukumbuke wazanzibar waliondoa kinyemela swala la mafuta na gesi kuwa la muungano lakini mama samia alipoingia madarakani alienda kusaini haraka haraka mkataba wa bomba la gesi na kenya kwa gesi inayotoka Tanganyika.
Meli wanataka tugawane nusu kwa nusu ndege pia wanataka tuwape za kazi gani watanganyika tuamke tusiuze uhuru wetu kwani ndege zimenunuliwa kwa kodi za watanyika mbona meli zao kama za Mapinduzi hatuhusiki nazo ila za kwetu wanataka ziwe za kwao
 
Ndo nilitaka kuuliza, Zanzibar wamenunua lini ndege? Au ndo zile za mwamba? Kama ni hivyo, haitoshi kuwa ni za JMT na kupokelewa na raisi wa JMT?

Tuendelee kulegeza macho tu, wana asili ya kifirauni hao
Zanzibar inaingia Sikonge mara kumi na nne!

2,400 sq km Zanzibar Vs. 28, 000 sq. km Sikonge

Nyerere amekufa anajua Muungano project was a cataclysmic blunder. Wanatu cost matrilioni mpaka leo kuhahudmia ka Zanzibar.

Eti katuunganisha na Zanzibar anasema anatafuta umajumui wa Afrika ( Pan Africanism). Wakati huo huo anawatetea Wanaigeria wa BIAFRA wajitoe Nigeria!
Unafiki wa kiwango cha lami.

Tunataka ndege zetu zirudi Tanganyika.
 
Nchi nzima itazizima kwa makopo... we are stupid and rubbish!
Hivi na Sweden wanafanyaga hivyo wakinunua ndege?
Hayo mandege wakiyapokea inakuuma nini kijana.. Siwameyanunua wao.. Usituunganishe kwenye urubbish wako na stupidity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…