Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

Nauliza kwa nia njema kabisa........hivi hii wizara ya uchukuzi ni ya muungano? Naomba msaada wa majibu ndugu zangu kuna mambo ningependa kujifunza
 
Tunazidisha mapambo pale jkna
Binafsi nashindwa kuelewa Logic iliyo tumika kufikia mahamuzi ya kununua ma fleet ya Jumbo jets!!

Wenzetu Ulaya na Merikani makampuni ya ndege yanaungana ili kupunguza hasara zinazo yakumba makampuni hayo yanapo endesha biashara ya usafiri wa anga kila moja kivyake vyake - at the end of the day the going gets tough wanafirisika - kitu gani kinacho tupa matumaini kwamba Tanzania itaweza kuvunja mfupa ulio mshinda FISI?

Unganeni na mashirika ya ndege ya Uganda,Rwanda,Sudan Kusini,Zambia na Malawi - tukijifanya lone Ranger hatutafika mbali, angalia matatizo yanayo ikumba Kenya Airways licha ya kuwa na ubia na KLM, bila kusahau matatizo ya biashara ya usafiri wa anga unaoikumba South Africa Airways.
 
Kwetu nafikiri tatizo lilianzia kwa mwendazake kwa kujiona kuwa yeye ni mtemi kwa kila kitu.

Tulivyoona kina Fastjet wanafungashiwa vilago kwa wenye akili tukajua kuwa mambo yanaenda kombo.
 
Hahahaaaaa...lol!!!
Wakala wa shetani wewe. Kama mimi IQ yangu ni ndogo, ni ahueni mara 1000 kuliko kuwa na IQ kubwa halafu nikawa namtumikia shetani.
Congratulations, you've just proven my assertion.
 
Umewahi kusafiri route za ndani na ndege na kuona ushubwada uliopo?
 
Ununuzi wa madege haya unawanufaisha wanasiasa mafisadi zaidi
 
Huku mche wa sabuni umefika shs 3000
 
Kama ni ndege ya ATCL kwa nini ipokelewe Zanzibar?! Wangeweka wazi kama zimenunuliwa na serikali ya Zanzibar.
Zamu yao...... Ndiyo siasa za Tanzania kwa sasa. Mwendazake kaacha precedence ambayo Maza anaitumia kwa faida yake.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…