Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,987
- 1,757
Duu! Asa mbona zinatua nchi jiran? Au sio zetu nn ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nashindwa kuelewa Logic iliyo tumika kufikia mahamuzi ya kununua ma fleet ya Jumbo jets!!Tunazidisha mapambo pale jkna
Kwetu nafikiri tatizo lilianzia kwa mwendazake kwa kujiona kuwa yeye ni mtemi kwa kila kitu.Binafsi nashindwa kuelewa Logic iliyo tumika kufikia mahamuzi ya kununua ma fleet ya Jumbo jets!!
Wenzetu Ulaya na Merikani makampuni ya ndege yanaungana ili kupunguza hasara zinazo yakumba makampuni hayo yanapo endesha biashara ya usafiri wa anga kila moja kivyake vyake - at the end of the day the going gets tough wanafirisika - kitu gani kinacho tupa matumaini kwamba Tanzania itaweza kuvunja mfupa ulio mshinda FISI?
Unganeni na mashirika ya ndege ya Uganda,Rwanda,Sudan Kusini,Zambia na Malawi - tukijifanya lone Ranger hatutafika mbali, angalia matatizo yanayo ikumba Kenya Airways licha ya kuwa na ubia na KLM, bila kusahau matatizo ya biashara ya usafiri wa anga unaoikumba South Africa Airways.
Ooh! Kwa akili yako kutokumpenda Magufuli ndiyo akili ya kujadili mambo ya maendeleo.Wewe hujawahi kuwa na akili ya kujadili mambo ya maendeleo
Congratulations, you've just proven my assertion.Hahahaaaaa...lol!!!
Wakala wa shetani wewe. Kama mimi IQ yangu ni ndogo, ni ahueni mara 1000 kuliko kuwa na IQ kubwa halafu nikawa namtumikia shetani.
Corona inatibikaOoh! Kwa akili yako kutokumpenda Magufuli ndiyo akili ya kujadili mambo ya maendeleo.
Gharama ya midege tosha bima ya afya watanzania wote milele daima. CCM hovyo kupitilizaKati ya vitu tunakosea CCM nikununua midege
Umewahi kusafiri route za ndani na ndege na kuona ushubwada uliopo?Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Ununuzi wa madege haya unawanufaisha wanasiasa mafisadi zaidiNaam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?
Zamu yao...... Ndiyo siasa za Tanzania kwa sasa. Mwendazake kaacha precedence ambayo Maza anaitumia kwa faida yake.Kama ni ndege ya ATCL kwa nini ipokelewe Zanzibar?! Wangeweka wazi kama zimenunuliwa na serikali ya Zanzibar.
Wananunua hiyo midege wakati hawana uhakika wa kupata abiriaGharama ya midege tosha bima ya afya watanzania wote milele daima. CCM hovyo kupitiliza
Look at you! Mtakufa kwa chuki. 😀Corona inatibika
Kwani haitibiki?Look at you! Mtakufa kwa chuki. [emoji3]
Ukiwa na chuki utakufa vibaya sana.Kwani haitibiki?
Kweli lazima ufe vibaya maana tumeonaUkiwa na chuki utakufa vibaya sana.
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?
View attachment 1967693MWENYEZI MUNGU UWE NA NCHI YANGU
Tena kutaga mayai viza tayariZisije tu kuja kutaga kama hizi nyingine.