Ndege na mali nyingine za Trump tunaziona, hapa kwetu Marais hawatuoneshi hata bajaji zao. Kwanini wanaficha?

Ndege na mali nyingine za Trump tunaziona, hapa kwetu Marais hawatuoneshi hata bajaji zao. Kwanini wanaficha?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki?

Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi?

Je, ni wivu? Kwamba wanaogopa kuonewa wivu na kundi kubwa la watu wanaowazunguka na kuwafahamu?

Kwanini hatuoni hoteli, mabasi, ndege ama taxi zimeandikwa;-

Rais Samia, Mkapa, Kikwete, Nyerere, Mwinyi ama Magufuli?

Nimamaliza!

IMG_20230404_230334_858.jpg
 
Trump sio Raisi wetu, hatowai kuwa Raisi wetu.

Wamarekani wana yao na sisi tuna Yetu.

Ndugu ufike mahali ukiwa unamtaja taja Hayat ili upate views, ulegee. Umezidi na Ugaidi.
 
Nasikia anapelekwa mahakamani na makosa ya Jinai halafu umulinganishe na Hayat Magufuli....

....isitoshe, jitu kama Trump angetamani yeye ndie awe kama Hayat Magufuli

R.I.P Comrade J.P.M
 
Nasikia anapelekwa mahakamani na makosa ya Jinai halafu umulinganishe na Hayat Magufuli...
Ndivyo inavyotakiwa kila mtu awe chini ya sheria haijalishi kama rais au Mama ntilie, ndio maana viongozi wetu wanaiba, wanatesa na kudhulumu wakijua kwamba wapo juu ya sheria mpaka mwisho Mungu anaingilia kumuondosha mtu baada ya kuona mateso yamezidi.
 
Trump ana pesa za kutosha ht kabla hajawa rais
 
Sisi % kubwa ni masikini kwa hiyo kujionyesha utajiri wako ni kujitafutia zongo tu
Huwezi kujionyesha utajiri kwa masikini kwa sababu masikini ni wengi sana kuliko matajiri

Hata wewe usingejionyesha bali ungekuwa low profile
Ila wengi wa matajiri wetu ni majizi pia
 
Ndivyo inavyotakiwa kila mtu awe chini ya sheria haijalishi kama rais au Mama ntilie, ndio maana viongozi wetu wanaiba,wanatesa na kudhulumu wakijua kwamba wapo juu ya sheria mpaka mwisho Mungu anaingilia kumuondosha mtu baada ya kuona mateso yamezidi.
Wewe ni muongo sana. Kwahiyo ni mungu kaingilia Trump apelekwe mahakamani?
 
Pamoja namkubali ilikua sio Sawa kwake kusema vita ya ukaraine na urusi anamaliza sikumbili ni uharibifu mkubwa wa mipango endelevu ya Us
 
Ndivyo inavyotakiwa kila mtu awe chini ya sheria haijalishi kama rais au Mama ntilie,

Wazungu wanalia iama kawaida yao. Ni hivi....Sheria hiyo hiyo ikitumiwa na mtu mweusi....wanasema kavuka mipaka na madaraka yake. Ikiwiwa ni Mzungu, wanasema anafanya kazi kwa weledi na anafuata sheria.... n a Kwa mlolongo huo naona unaegemea wapi?
ndio maana viongozi wetu wanaiba,wanatesa na kudhulumu wakijua kwamba wapo juu ya sheria
Ila kwavile wale walioiba na kukurupushwa na wizi na ufisadi(white collar crimes) na kujiteka na kutesa wenzao hawakuvunja sheria?

Wazungu ambao ni wadhalimu waliojaa magonjwa yote sugu yazinaa na kusambaza kwa dada zetu ni wasafi? wanafuata sheria gani kama sio Uchawi?
mpaka mwisho Mungu anaingilia kumuondosha mtu baada ya kuona mateso yamezidi.
Ndio mzungu kapata mateso, mateso ambaye yanamrudia kwa udhalimu ambao ameufanya Afrika kwa karne kwa kisingizio hicho hicho ati mungu ndie aliyemtuma!

Msimsingizie Mungu hapo... labda mungushetani wenu huyo kwa Udhalimu wenu...
 
Back
Top Bottom