Ni kwasababu ameenda kinyume nao! Kagusa mambo ya giza wanamshughukia!Nn kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki?...
Ndivyo inavyotakiwa kila mtu awe chini ya sheria haijalishi kama rais au Mama ntilie, ndio maana viongozi wetu wanaiba, wanatesa na kudhulumu wakijua kwamba wapo juu ya sheria mpaka mwisho Mungu anaingilia kumuondosha mtu baada ya kuona mateso yamezidi.Nasikia anapelekwa mahakamani na makosa ya Jinai halafu umulinganishe na Hayat Magufuli...
Wewe ni muongo sana. Kwahiyo ni mungu kaingilia Trump apelekwe mahakamani?Ndivyo inavyotakiwa kila mtu awe chini ya sheria haijalishi kama rais au Mama ntilie, ndio maana viongozi wetu wanaiba,wanatesa na kudhulumu wakijua kwamba wapo juu ya sheria mpaka mwisho Mungu anaingilia kumuondosha mtu baada ya kuona mateso yamezidi.
Ndivyo inavyotakiwa kila mtu awe chini ya sheria haijalishi kama rais au Mama ntilie,
Ila kwavile wale walioiba na kukurupushwa na wizi na ufisadi(white collar crimes) na kujiteka na kutesa wenzao hawakuvunja sheria?ndio maana viongozi wetu wanaiba,wanatesa na kudhulumu wakijua kwamba wapo juu ya sheria
Ndio mzungu kapata mateso, mateso ambaye yanamrudia kwa udhalimu ambao ameufanya Afrika kwa karne kwa kisingizio hicho hicho ati mungu ndie aliyemtuma!mpaka mwisho Mungu anaingilia kumuondosha mtu baada ya kuona mateso yamezidi.