Ndege nne za Urusi zapigwa chini hata kabla kuingia Ukraine, yaani zikiwa anga ya Urusi

Ndege nne za Urusi zapigwa chini hata kabla kuingia Ukraine, yaani zikiwa anga ya Urusi

Vita inapiganwa kwa propaganda. Usiwe mjinga.
VIDEOS [emoji116]

One of the worst days ever for the Russian Air Force: Today, at least 4 aircraft- an Su-34 strike jet, an Su-35 fighter and two Mi-8 helicopters, were shot down by anti-air missiles over Bryansk Oblast within Russia.

So far it is unclear what kind of missiles were used.
 
Tutaleta zote hata za wiki jana, mtakoma tu, ila hizi nimezileta baada ya kuona kumbe ndege zilipigwa kwenye anga ya Urusi....
Urusi atabaki kuwa mwanaume tuu. jiungeni wote mtapambana lakini hamtaiweza..
 
Ninyi wakenya mnamatatizo hapo kichwani. Ugali tu unawashinda
 
Kama inaangamia nunua Vodka ushangilie
We humuoni comedian analialia,mara aende Kwa Papa ,mara aende kuomba silaha NATO.......... mnashangilia ujinga sana kama msemaji wa Serikali ya Saddam Hussein
 
We humuoni comedian analialia,mara aende Kwa Papa ,mara aende kuomba silaha NATO.......... mnashangilia ujinga sana kama msemaji wa Serikali ya Saddam Hussein
Kama anaweza akawa anatoka nje ya nchi kwenda sehemu mbalimbali Mrusi anasubiri nini kumwambia abaki hukohuko asirudi Ukraine?
Yaani supa pawa mpaka leo anaumizwa kichwa na Comedian?
Halafu Comedian hana wasiwasi, anatoka nchini kwake na kurudi atakavyo, lakini Supapawa hatoki kwenda kokote, hata choo cha nje anaogopa kukitumia sasa hivi.
Amejifungia ndani kama mwanamwali anayesubiri kutolewa siku ya harusi
 
Muongo wa kutupwa huyu jamaa - hata accident za kawaida vitani yeye anazichukulia kama ni ukweli au kusema jeshi la Ukraine ndilo linalo husika - ulaghai mtupu na hachoki kuleta adithi za Alinacha.

hehehe accident ndege nne kwa mpigo, kweli mnateseka, hata ile meli mlisema accident ya mvuta sigara.
 
hehehe accident ndege nne kwa mpigo, kweli mnateseka, hata ile meli mlisema accident ya mvuta sigara.
We unaona ajabu gani - tunakustahi tu lakini. tikikwambia tupatie ushahidi itakimbilia mitini au kujaribu kutafuta kwenye archives za maika ya nyuma - si tunawajua mlivyo - longo longo tu.
 
Tutaleta zote hata za wiki jana, mtakoma tu, ila hizi nimezileta baada ya kuona kumbe ndege zilipigwa kwenye anga ya Urusi....

Ukraine updates: Russia 'lying' about Bakhmut, Wagner says​

Story by dw.com • Friday


1684228900419.png

Russian regular army was fleeing its positions near Bakhmut, the head of Wagner mercenary group said, accusing Moscow's military leadership of downplaying the situation around the Ukrainian town. DW has the latest.
Smoke rises from buildings in this aerial view of Bakhmut, the site of the heaviest battles in the Donetsk region
Smoke rises from buildings in this aerial view of Bakhmut, the site of the heaviest battles in the Donetsk region© Libkos/AP Photo/picture alliance
The head of Russia's private Wagner mercenary group Yevgeny Prigozhin on Friday said Moscow's regular army was fleeing its positions near the eastern Ukraine hotspot town of Bakhmut.

"The units of the defense ministry simply went fleeing from the flanks" of Bakhmut, Prigozhin said, adding that "the flanks are failing, the front is collapsing" in that area.
He also accused Moscow's military leadership of downplaying the situation around the embattled Ukrainian town. "Attempts by the defense ministry in the information field to sugar coat the situation — it's leading and will lead to a global tragedy for Russia. For this reason, we must stop lying immediately," Prigozhin said.
Earlier on Friday, Russian Defense Ministry said that its forces had repelled a surge of attempted Ukrainian attacks against its positions in eastern Ukraine and indicated that its forces had fallen back a bit in one area for tactical reasons.
The ministry said in a statement that Ukraine had deployed more than a thousand troops and up to 40 tanks in 26 attempted attacks across a frontline extending over 95 kilometers. It said the attacks had taken place in the direction of the town of Soledar which is held by Moscow's forces.
The same statement did indicate however that Russian forces had fallen back in one area of the front, taking up what it described as "more favorable positions" near the Berkhivka reservoir northwest of Bakhmut.
Here are some of the other notable developments concerning Russia's war in Ukraine on Friday, May 12:
 
Back
Top Bottom