Ndege nne za Urusi zapigwa chini hata kabla kuingia Ukraine, yaani zikiwa anga ya Urusi

Ni mtu mjinga tu ndio anayeweza kumuamini mleta mada
Inaonesha Ukrain wana mikakati mizuri

Ukrainian intelligence chief says expect deeper drone attacks into Russia​

Story by Zeleb.es • Jan 15



Auto Rotation Off
Full screen
1 of 17 Photos in Gallery©Provided by The Daily Digest

Kyrylo Budanov says attacks will be deeper​

The head of Ukrainian military intelligence Kyrylo Budanov recently told reporters from ABC News that the world should expect to see more attacks deeper inside Russian territory.
 
We unaona ajabu gani - tunakustahi tu lakini. tikikwambia tupatie ushahidi itakimbilia mitini au kujaribu kutafuta kwenye archives za maika ya nyuma - si tunawajua mlivyo - longo longo tu.

Mnanistahi mkiwa wewe na nani, nasemaje!! Nasemaje!! ndege zimepigwa nne tena kwenye anga ya Urusi....
Warusi wameanza kupoteana Bakhmut.
 
Acheni uongo wenu, Prigozhin na mzalendo wa kweli wa Taifa la Urusi, jawezi kwenda anabwata bwata ovyo barabarani kuhusu jeshi la Taifa lake - wasitufanye watu wajinga - katika vita hii media za magharibi wanakuja na stori nyingi za kubuni tu , mfano:eti Patriot imefanikiwa kitungua hypersonic Kinzhal missile uongo mtupu,, Payriot haikuwa designed ku,-intercept/tungua hypersonic missiles hata siku moja, hata jeshi la Merikani linajua ukweli huo lakini main stream media zao wanakuja na mambo ya kibuni tu/propaganda.
 
Tukubaliane kutokubaliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…