Ndege Tano za Marekani za kuweka mafuta kwa ndege nyingine zapigwa na Iran

Ndege Tano za Marekani za kuweka mafuta kwa ndege nyingine zapigwa na Iran

kendy

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
453
Reaction score
942
The Wall Street Journal

Ndege tano za Jeshi la Anga la Marekani zinazotumika kujaza mafuta angani zilipigwa na kuharibika zikiwa chini katika Kituo cha Anga cha Prince Sultan Air Base nchini Saudi Arabia, kwa mujibu wa maafisa wawili wa Marekani.

Maafisa hao walisema ndege hizo zilipigwa wakati wa shambulio la makombora lililorushwa na Iran dhidi ya kituo hicho cha kijeshi katika siku za hivi karibuni.
Kamandi ya Jeshi la Marekani la Mashariki ya Kati, United States Central Command, imekataa kutoa maoni kuhusu tukio hilo.

Kwa mujibu wa mmoja wa maafisa hao, ndege hizo za kujaza mafuta angani ziliharibika lakini hazikuharibiwa kabisa na kwa sasa zinafanyiwa matengenezo. Hakuna mtu aliyepoteza maisha katika shambulio hilo.
==============

Five Air Force Refueling Planes Hit in Iranian Strike on Saudi Arabia​

Five U.S. Air Force refueling planes were struck and damaged on the ground at Prince Sultan air base in Saudi Arabia, according to two U.S. officials.

The tankers were hit during an Iranian missile strike on the Saudi base in recent days, the officials said. U.S. Central Command declined to comment. The tankers were damaged but not fully destroyed and are being repaired, one of the officials said. No one was killed in the strikes.

Kwa niaba ya, Lee Van Cliff
 
Maisha Yana tabia.
Ukiona mtu nyumbani kwake Kila mara anafanya sherehe,hata vijisherehe vidogovidogo ujue uchumi wake umeinuka.
Uchumi ukiyumba hafanyi vijisherehe(vijibirth day n.k)

Marekani alipoenda kumkamata Maduro alienda peke yake na alipofanikiwa alijisifu.

Sasa hivi,Leo hii Marekani anazitaka nchi za gulf ziingie vitani,anazitaka nchi za Europe ziingie vitani,hii ni dalili na inaonesha kwamba Marekani kashindwa kutimiza malengo yake.
Vita ikiisha Leo itahesabiwa marekani kashindwa vita hii.

Maisha ya tabia, hizi anazofanya marekani Sasa hivi ndio tabia za mtu anaeona dalili za kushindwa vita.
 

Kubomoa rada kumi ndani ya siku 10 Sio mchezo.​

Katika vita mtu akiharibu rada Yako ni sawa na kumpofua macho daktari bingwa wa upasuaji.

​

Iran destroys 10 US radars in region, says it will decide when war ends​

Tuesday, 10 March 2026 7:08 AM [ Last Update: Tuesday, 10 March 2026 7:08 AM ]


spokesperson of the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC), Brigadier General Ali Mohammad Naeini
The Iranian military forces have so far managed to destroy 10 highly advanced radar systems of the United States in the Persian Gulf region, the IRGC says, stressing that Tehran, and not Washington, is the one that determines the end of the current war.

The spokesperson of the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC), Brigadier General Ali Mohammad Naeini, made the remarks on Tuesday, ten days after a US-Israeli military coalition began an unprovoked war of aggression on the Islamic Republic.

“We know that your ammunition stockpiles are running out and you are desperately seeking a way out of the war that would save your face. Why don’t you tell the truth to the American people?” he addressed American authorities.
 
Back
Top Bottom