The Wall Street Journal
Ndege tano za Jeshi la Anga la Marekani zinazotumika kujaza mafuta angani zilipigwa na kuharibika zikiwa chini katika Kituo cha Anga cha
Prince Sultan Air Base nchini
Saudi Arabia, kwa mujibu wa maafisa wawili wa Marekani.
Maafisa hao walisema ndege hizo zilipigwa wakati wa shambulio la makombora lililorushwa na
Iran dhidi ya kituo hicho cha kijeshi katika siku za hivi karibuni.
Kamandi ya Jeshi la Marekani la Mashariki ya Kati,
United States Central Command, imekataa kutoa maoni kuhusu tukio hilo.
Kwa mujibu wa mmoja wa maafisa hao, ndege hizo za kujaza mafuta angani ziliharibika lakini hazikuharibiwa kabisa na kwa sasa zinafanyiwa matengenezo. Hakuna mtu aliyepoteza maisha katika shambulio hilo.
==============
Five Air Force Refueling Planes Hit in Iranian Strike on Saudi Arabia
Five U.S. Air Force refueling planes were struck and damaged on the ground at Prince Sultan air base in Saudi Arabia, according to two U.S. officials.
The tankers were hit during an Iranian missile strike on the Saudi base in recent days, the officials said. U.S. Central Command declined to comment. The tankers were damaged but not fully destroyed and are being repaired, one of the officials said. No one was killed in the strikes.
Kwa niaba ya, Lee Van Cliff