Ndege tatu za Marekani zatunguliwa kimakosa na Kuwait

Zitakua zimeingia lakini naamini wana intel na mahesabu makali wapi kuna air defenses na wapi hazipo, wapi kuna radar na wapi hazipo, japo sio kwa asilimia 100. Hivyo wanasimama kwenye safe distance na kushambulia.

Maana Israel wana mossad tayari ndani ya Iran ambao mara nyingi tu wameua viongozi, hivyo kufahamu wapi zipo air defenses na wapi hazipo wanaweza kufahamu japo si kwa uhakika wa asilimia zote.

Hivyo bado wanafanya deep penetration/stand off strike. maana hata kama unafahamu wapi air defenses zipo, kuna MANPADS zinaweza kuwapa shida.
Yaani MANPAD Israel iogope? Hapo ndipo nimejua sasa kuwa wewe ni mweupe kabisa!!
 
Attachments

  • Screenshot_20260303_093111_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260303_093111_Instagram Lite.jpg
    147.1 KB · Views: 18
Inaweza kufika . Kilometer 500 kwa ndege yenye top speed 900km/hr fighter jet inafika vizuri tu ila inategemea na aina ya kombora iliyotumika kufanya shambulizi pamoja na kiwango cha damage.. kama ndege haijaguswa sana kwenye injini au kwenye mifumo yake ya umeme na mafuta bado inaweza kwenda kuangukia kwenye umbali huo
F-15E inakimbia kilomita 2655 kwa saa moja. top speed, umejenga hoja nzuri, its possible kabisa.
Maana kama mlengaji alikuwa persian gulf umbali wa kilomita 100 kutoka Kuwaiti, akailenga, hio ndege ikikimbia kwa kilomita 1500/h ina maana dakika 4 tayari ipo Kuwait, dakika 4 , dakika 10 baadae imekwenda kilomita karibu 500 ndani ya Kuwait.

Hivyo inawezekana sana..
 
Collateral damage... Hili tukio na kumbuka kama lilitokea around 2020 kama sijakosea .. ndege ya abiria iliua watu wote zaidi ya 170
Hii ya Kuwait, ni ndege 3, you can imagine halafu zinalengwa nyakati tofautikama issue ni IFF, wangezima patriot ili jamaa watue kwanza.
 
Yaani MANPAD Israel iogope? Hapo ndipo nimejua sasa kuwa wewe ni mweupe kabisa!!
Achana na MANPAD, roketi za Hamas za kienyeji za begani zilikuwa zinatandika kifaru merkava tanks inasambaa.
 
F-15E inakimbia kilomita 2655 kwa saa moja. top speed, umejenga hoja nzuri, its possible kabisa.
Maana kama mlengaji alikuwa persian gulf umbali wa kilomita 100 kutoka Kuwaiti, akailenga, hio ndege ikikimbia kwa kilomita 1500/h ina maana dakika 4 tayari ipo Kuwait, dakika 4 , dakika 10 baadae imekwenda kilomita karibu 500 ndani ya Kuwait.

Hivyo inawezekana sana..
Hiyo ndege ilipigiwa Kuwait unataka tu kuwapa ujiko wa bure Magaidi wa Iran.

Ndani ya Iran kila siku zinaingia ndege-vita 200 wameshindwa kuziangusha Iran hana AD za maana Russia na China wanamzuga tu!!
 
Screenshot_20260303_093943_Instagram Lite.jpg
 
Tukiacha mihemko na mahaba niue ,tukajadili kimantiki, Israel hawezi kuucheza mziki wa Iran akiwa man Solo yaani akiwa peke yake pasipo backup ya mmarekani... Hili lipo wazi kabisa..
 
Acha ujinga Marekani na Israel ni washirika nchi hizi daima hufanya mambo yao kwa kushirikiana miaka yote leo wewe Mmatumbi mwenzangu uwatenganishe!! Pili Iran wewe kwa akili yako ndogo unafikiri yuko peke yake? Kama tu Russia ambaye anajukikana huko Ukraine hayuko peke yake itakuwaje magaidi wa Iran wawe peke yao?.

Duniani hakuna jeshi Zurich na lenye nguvu kama IDF huwezi kuwalinganisha na Iran ambao viongozi wao wanauliwa siku ya kwanza tu ya vita!!!

Acha ushabiki maandazi Israel huwezi kuilinganisha na mabwege wa Iran!!
 
Zitakua zimeingia lakini naamini wana intel na mahesabu makali wapi kuna air defenses na wapi hazipo, wapi kuna radar na wapi hazipo, japo sio kwa asilimia 100. Hivyo wanasimama kwenye safe distance na kushambulia.

Maana Israel wana mossad tayari ndani ya Iran ambao mara nyingi tu wameua viongozi, hivyo kufahamu wapi zipo air defenses na wapi hazipo wanaweza kufahamu japo si kwa uhakika wa asilimia zote.

Hivyo bado wanafanya deep penetration/stand off strike. maana hata kama unafahamu wapi air defenses zipo, kuna MANPADS zinaweza kuwapa shida.
Kuna uwezekano mdogo sana F-15EX ziwe introduced Israel. Order yao imekubaliwa mwishoni mwaka jana na Boeing wana order book ndefu.
Ingekuwa mfano China wao unaweza weka order March, December ukaanza kupokea delivery maana production lines zao uwezo mkubwa ila hawana order kubwa.
 
Ya ni kweli suala makosa kushambuliana wenyewe ni kitu cha kawaida kabisa hasa ukizingatia na hali ya taharuki iliyopo na yamesha tokea sehemu nyingi tu.
Hata Iran yenyewe ilisha wahi kudungua ndege ya abilia kimakisa kwa kudhani ni ndege ya kivita ya Marekani.
Hiyo ndege ya abiria ilikuwa inaruka kutoka Tehran kwenda Ukraine. Hapo ndio muda mfupi Iran wamemaliza kufyatua makombora kupiga kambi ya Marekani iliyopo Iraq kama kisasi cha kuuwawa kwa Jenerali Soleimani. Walikuwa kwenye high alert wakitarajia mashambulizi kutoka Marekani ila hayakutokea.

Vilevile waasi wa Donbass walidungua kimakosa ndege ya Malaysia iliyokuwa inapita anga la Ukraine.
Hata meli ya kivita ya Marekani miaka ya 1970s ilidungua ndege ya abiria ya Iran kimakosa ikidhani ni ndege ya kijeshi.
 
Kweli hakuna uwezekano wa Iran kuwa ndo aliye zitungua maana mazingira ya tukio yanakataa.
 
Hii ya Kuwait, ni ndege 3, you can imagine halafu zinalengwa nyakati tofautikama issue ni IFF, wangezima patriot ili jamaa watue kwanza.
Huwezi zima Patriot wakati suicide drones na makombora ya Iran yanatarajiwa kuingia muda wowote. Una kambi ina ndege nyingi na miundombinu hapo chini unaiacha wazi.

Mbona hili suala liko wazi kabisa. Mwaka 2018 F-15I za Israel zilishambulia target ndani ya Latakia, Syria. Muda huo Syria ikafyatua makombora ya S-200 ila yakapiga Il-20 ya Russia iliyokuwa inatoka kufanya reconnaissance inarudi pale pale Latakia kwenye airbase yao zile operations dhidi ya ISIS. Sasa pale usingeiambia Syria eti zima S-200 sababu Russia yuko hewani, wakati at the same time Israel yuko anga la Syria.

Crew ya air defense system huwa unaona vidoa kwenye screen, haioni hii ni ndege wala hili ni kombora. Kasoro tu itasoma speed, path, RCS na unaweza jua ni kitu gani kama kina similar characters na kitu mnachojua. Hata hivyo kuna vitu kama hali ya hewa, speed ya intruder, uchafu hewani. Mwisho the rule of thumb mkiwa kwenye stress na high alert on imminent attack ni kupiga kitu chochote usichokitambua na ambacho huna taarifa nacho, ukikosea tutajuwa mbele ya safari.
 
Hiyo ndege ilipigiwa Kuwait unataka tu kuwapa ujiko wa bure Magaidi wa Iran.

Ndani ya Iran kila siku zinaingia ndege-vita 200 wameshindwa kuziangusha Iran hana AD za maana Russia na China wanamzuga tu!!
Hizo zimepigwa kwenye dog fight na sukhoi na mig za iran
 
Attachments

  • Screenshot_2026-03-02-21-47-44-275.jpg
    Screenshot_2026-03-02-21-47-44-275.jpg
    158.8 KB · Views: 18
Hizo zimepigwa kwenye dog fight na sukhoi na mig za iran
Kwa kipande cha karatasi hicho ndiyo unataka kutuaminisha ndege-vita hizo zilidunguliwa kwenye Dog fighting? Ndege za kirusi haliwezii kutamba kwenye ndege-vita za kimarekani kwenye dog fighting hawana uzoefu huo!!
 
Siyo kweli! Ukweli ni kwamba hizo ndege ziliingia kwenue Anga la Iran na zikashambuliwa na Iran. Zikiwa zimejeruhiwa zikaamua kugeuza na kuingia Anna la Kuwait na mara zikadondoka. Kwa bahati zilifanikiwa kuingia Anna la Kuwait vinginevyo zingedondokea Iran@
Hata kama wangedondokea iran, sheria za vita zinaeleza hutakiwi kumuua rubani ambae amejiokoa kwenye ndege iliotunguliwa....kuua fighter jet pilot inachukuliwa kama war crime
 
Back
Top Bottom