Yaani MANPAD Israel iogope? Hapo ndipo nimejua sasa kuwa wewe ni mweupe kabisa!!Zitakua zimeingia lakini naamini wana intel na mahesabu makali wapi kuna air defenses na wapi hazipo, wapi kuna radar na wapi hazipo, japo sio kwa asilimia 100. Hivyo wanasimama kwenye safe distance na kushambulia.
Maana Israel wana mossad tayari ndani ya Iran ambao mara nyingi tu wameua viongozi, hivyo kufahamu wapi zipo air defenses na wapi hazipo wanaweza kufahamu japo si kwa uhakika wa asilimia zote.
Hivyo bado wanafanya deep penetration/stand off strike. maana hata kama unafahamu wapi air defenses zipo, kuna MANPADS zinaweza kuwapa shida.
Hebu tafsiri Hilo tamko la mamlaka tuone kama tautology
F-15E inakimbia kilomita 2655 kwa saa moja. top speed, umejenga hoja nzuri, its possible kabisa.Inaweza kufika . Kilometer 500 kwa ndege yenye top speed 900km/hr fighter jet inafika vizuri tu ila inategemea na aina ya kombora iliyotumika kufanya shambulizi pamoja na kiwango cha damage.. kama ndege haijaguswa sana kwenye injini au kwenye mifumo yake ya umeme na mafuta bado inaweza kwenda kuangukia kwenye umbali huo
Hii ya Kuwait, ni ndege 3, you can imagine halafu zinalengwa nyakati tofautikama issue ni IFF, wangezima patriot ili jamaa watue kwanza.Collateral damage... Hili tukio na kumbuka kama lilitokea around 2020 kama sijakosea .. ndege ya abiria iliua watu wote zaidi ya 170
Achana na MANPAD, roketi za Hamas za kienyeji za begani zilikuwa zinatandika kifaru merkava tanks inasambaa.Yaani MANPAD Israel iogope? Hapo ndipo nimejua sasa kuwa wewe ni mweupe kabisa!!
Hiyo ndege ilipigiwa Kuwait unataka tu kuwapa ujiko wa bure Magaidi wa Iran.F-15E inakimbia kilomita 2655 kwa saa moja. top speed, umejenga hoja nzuri, its possible kabisa.
Maana kama mlengaji alikuwa persian gulf umbali wa kilomita 100 kutoka Kuwaiti, akailenga, hio ndege ikikimbia kwa kilomita 1500/h ina maana dakika 4 tayari ipo Kuwait, dakika 4 , dakika 10 baadae imekwenda kilomita karibu 500 ndani ya Kuwait.
Hivyo inawezekana sana..
F-15E inakimbia kilomita 2655 kwa saa moja. top speed, umejenga hoja nzuri, its possible kabisa.
Maana kama mlengaji alikuwa persian gulf umbali wa kilomita 100 kutoka Kuwaiti, akailenga, hio ndege ikikimbia kwa kilomita 1500/h ina maana dakika 4 tayari ipo Kuwait, dakika 4 , dakika 10 baadae imekwenda kilomita karibu 500 ndani ya Kuwait.
Hivyo inawezekana sana..
Tukiacha mihemko na mahaba niue ,tukajadili kimantiki, Israel hawezi kuucheza mziki wa Iran akiwa man Solo yaani akiwa peke yake pasipo backup ya mmarekani... Hili lipo wazi kabisa..Hiyo ndege ilipigiwa Kuwait unataka tu kuwapa ujiko wa bure Magaidi wa Iran.
Ndani ya Iran kila siku zinaingia ndege-vita 200 wameshindwa kuziangusha Iran hana AD za maana Russia na China wanamzuga tu!!
Tukiacha mihemko na mahaba niue ,tukajadili kimantiki, Israel hawezi kuucheza mziki wa Iran akiwa man Solo yaani akiwa peke yake pasipo backup ya mmarekani... Hili lipo wazi kabisa..
🤣🤣🤣 Fala sana
Acha ujinga Marekani na Israel ni washirika nchi hizi daima hufanya mambo yao kwa kushirikiana miaka yote leo wewe Mmatumbi mwenzangu uwatenganishe!! Pili Iran wewe kwa akili yako ndogo unafikiri yuko peke yake? Kama tu Russia ambaye anajukikana huko Ukraine hayuko peke yake itakuwaje magaidi wa Iran wawe peke yao?.Tukiacha mihemko na mahaba niue ,tukajadili kimantiki, Israel hawezi kuucheza mziki wa Iran akiwa man Solo yaani akiwa peke yake pasipo backup ya mmarekani... Hili lipo wazi kabisa..
Kuna uwezekano mdogo sana F-15EX ziwe introduced Israel. Order yao imekubaliwa mwishoni mwaka jana na Boeing wana order book ndefu.Zitakua zimeingia lakini naamini wana intel na mahesabu makali wapi kuna air defenses na wapi hazipo, wapi kuna radar na wapi hazipo, japo sio kwa asilimia 100. Hivyo wanasimama kwenye safe distance na kushambulia.
Maana Israel wana mossad tayari ndani ya Iran ambao mara nyingi tu wameua viongozi, hivyo kufahamu wapi zipo air defenses na wapi hazipo wanaweza kufahamu japo si kwa uhakika wa asilimia zote.
Hivyo bado wanafanya deep penetration/stand off strike. maana hata kama unafahamu wapi air defenses zipo, kuna MANPADS zinaweza kuwapa shida.
Hiyo ndege ya abiria ilikuwa inaruka kutoka Tehran kwenda Ukraine. Hapo ndio muda mfupi Iran wamemaliza kufyatua makombora kupiga kambi ya Marekani iliyopo Iraq kama kisasi cha kuuwawa kwa Jenerali Soleimani. Walikuwa kwenye high alert wakitarajia mashambulizi kutoka Marekani ila hayakutokea.Ya ni kweli suala makosa kushambuliana wenyewe ni kitu cha kawaida kabisa hasa ukizingatia na hali ya taharuki iliyopo na yamesha tokea sehemu nyingi tu.
Hata Iran yenyewe ilisha wahi kudungua ndege ya abilia kimakisa kwa kudhani ni ndege ya kivita ya Marekani.
Kweli hakuna uwezekano wa Iran kuwa ndo aliye zitungua maana mazingira ya tukio yanakataa.Hiyo ndege ya abiria ilikuwa inaruka kutoka Tehran kwenda Ukraine. Hapo ndio muda mfupi Iran wamemaliza kufyatua makombora kupiga kambi ya Marekani iliyopo Iraq kama kisasi cha kuuwawa kwa Jenerali Soleimani. Walikuwa kwenye high alert wakitarajia mashambulizi kutoka Marekani ila hayakutokea.
Vilevile waasi wa Donbass walidungua kimakosa ndege ya Malaysia iliyokuwa inapita anga la Ukraine.
Hata meli ya kivita ya Marekani miaka ya 1970s ilidungua ndege ya abiria ya Iran kimakosa ikidhani ni ndege ya kijeshi.
Huwezi zima Patriot wakati suicide drones na makombora ya Iran yanatarajiwa kuingia muda wowote. Una kambi ina ndege nyingi na miundombinu hapo chini unaiacha wazi.Hii ya Kuwait, ni ndege 3, you can imagine halafu zinalengwa nyakati tofautikama issue ni IFF, wangezima patriot ili jamaa watue kwanza.
Hizo zimepigwa kwenye dog fight na sukhoi na mig za iranHiyo ndege ilipigiwa Kuwait unataka tu kuwapa ujiko wa bure Magaidi wa Iran.
Ndani ya Iran kila siku zinaingia ndege-vita 200 wameshindwa kuziangusha Iran hana AD za maana Russia na China wanamzuga tu!!
Hizo zimepigwa kwenye dog fight na sukhoi na mig za iran
Kwa kipande cha karatasi hicho ndiyo unataka kutuaminisha ndege-vita hizo zilidunguliwa kwenye Dog fighting? Ndege za kirusi haliwezii kutamba kwenye ndege-vita za kimarekani kwenye dog fighting hawana uzoefu huo!!Hizo zimepigwa kwenye dog fight na sukhoi na mig za iran
Hata kama wangedondokea iran, sheria za vita zinaeleza hutakiwi kumuua rubani ambae amejiokoa kwenye ndege iliotunguliwa....kuua fighter jet pilot inachukuliwa kama war crimeSiyo kweli! Ukweli ni kwamba hizo ndege ziliingia kwenue Anga la Iran na zikashambuliwa na Iran. Zikiwa zimejeruhiwa zikaamua kugeuza na kuingia Anna la Kuwait na mara zikadondoka. Kwa bahati zilifanikiwa kuingia Anna la Kuwait vinginevyo zingedondokea Iran@