Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Ndege-vita za Jeshi la Israel leo hii zimekuwa zikitamba kwenye anga la Beirut wakati wa mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah aliyeuwawa na majeshi ya Israel Sept 27,2024 saa 12:21 jioni. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanja I hapo zikiwa kwenye speed na zikiwa kwenye “After-Burner” hivyo kusababisha mtafaruku mkubwa uwanjani hapo na ililazimu mtangazaji kuwatangazia watu watulie wasibabaike. Uwanjani hapo walikuwepo viongozi wakuu kutoka Yemen,Iran na nchi zingine zinazounga mkono Magaidi hao wa Hezbollah. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanjani hapo zikiwa kwenye Formation ya Arrowhead