Ndege-vita za Israel(IAF) zatamba kwenye mazishi ya Hassan Nasrallah huko Beirut, Lebanon

Ndege-vita za Israel(IAF) zatamba kwenye mazishi ya Hassan Nasrallah huko Beirut, Lebanon

Walikuwa bado hawajazika walikuwa wameuhifadhi sehemu huo mzoga wake!! Huku wakitafuta vipande vyake vingine waliogopa kumzika nusu nusu sasa wamevipata vipande vyote ndipo wa kaamua kumzika leo hii!!
Shahidi Nasralah alipigwa mabomu tani 80 yaliyosambaratisha jengo zima lakini hakutoka hata kovu zaidi ya kufariki kwa presha ya kishindo kile akiwa katka Banka lake na mpaka leo anaenda kuzikwa taarifa zinasema mwili wake ukiona kama amelala tu na unakia vizuri tu
 
That's how the popular resistance is, achilia mbali nchi mbali mbali zilizosherehekea huko zilipo mazishi haya, Palestine is the land our Prophet set foot when he was going to meet Our Lord you will never set us apart with Al Aqsa, it will never happen
Siku nyingi sana umekuwa na kiherehere sana kuhusu Palestine kana kwamba Unaijua kumbe unaongozwa na mihemko tu ya dini yako ambao wamekudanganya. Mbaya zaidi umesoma elimu ahera ukaacha Elimu Dunia ambayo ingekuondolea ujinga ulionao sasa nikuombe tu unijibu maswali yangu hayo hapo chini wata fugę na Wafuga Midevu na Majini wenzako wakusaidie kujibu.
 
Attachments

  • IMG_1598.jpeg
    IMG_1598.jpeg
    1.3 MB · Views: 2
Ayatollah Mjanja sana hakuwepo alituma tu mwakilishi!!!
Ayatollah ni mzee wa miaka 86 pia ana mkono mbovu baada ya promise tuu alisalisha sala ya Ijumaa hadharani Netanyahu knows who he is they wish him death every minute saivi Yemen anapiga tel viv Km zaidi ya 2000 bila hata kugusa nzi asiye husika kazi ya mwamba hio na hawana cha kumfanya.
 
Shahidi Nasralah alipigwa mabomu tani 80 yaliyosambaratisha jengo zima lakini hakutoka hata kovu zaidi ya kufariki kwa presha ya kishindo kile akiwa katka Banka lake na mpaka leo anaenda kuzikwa taarifa zinasema mwili wake ukiona kama amelala tu na unakia vizuri tu
Acha ujinga usituletee hapa Hadithi za Abunwas huo mwili wewe Mmatumbi mwenzangu umeuona wapi? Yaani unaambiwa na unaamini!! Ndiyo maana Manadanganywa kuwa ukifa Unafanya ugaidi unakabidhiwa Manikira 72 uwabikiri na kwa sababu mnapenda ngono mnashobokea tu.
 
Siku nyingi sana umekuwa na kiherehere sana kuhusu Palestine kana kwamba Unaijua kumbe unaongozwa na mihemko tu ya dini yako ambao wamekudanganya. Mbaya zaidi umesoma elimu ahera ukaacha Elimu Dunia ambayo ingekuondolea ujinga ulionao sasa nikuombe tu unijibu maswali yangu hayo hapo chini wata fugę na Wafuga Midevu na Majini wenzako wakusaidie kujibu.
Nimesoma sana elimu dunia na bado nasoma lakini hakuna cha maana kwenye elimu dunia kinachozidi elimu akhera, wasomi wa elimu dunia ndio wajinga kuliko maelezo nimesoma ili watu kama nyie msinipigie kelele lakini faida niliyoipata kwa elimu ya dini hailezeki na ninasolve 90% ya matatizo yangu kupitia elimu akhera na dunia ni just 10% tu
 
Acha ujinga usituletee hapa Hadithi za Abunwas huo mwili wewe Mmatumbi mwenzangu umeuona wapi? Yaani unaambiwa na unaamini!! Ndiyo maana Manadanganywa kuwa ukifa Unafanya ugaidi unakabidhiwa Manikira 72 uwabikiri na kwa sababu mnapenda ngono mnashobokea tu.
Saidi mwili wake ulitolewa katka mita 40 chini ukiwa mzima
 
Nimesoma sana elimu dunia na bado nasoma lakini hakuna cha maana kwenye elimu dunia kinachozidi elimu akhera, wasomi wa elimu dunia ndio wajinga kuliko maelezo nimesoma ili watu kama nyie msinipigie kelele lakini faida niliyoipata kwa elimu ya dini hailezeki na ninasolve 90% ya matatizo yangu kupitia elimu akhera na dunia ni just 10% tu
Acha hizo mbwembwe unaishi kuibia waislamu wenzako? Niko pale kwa mangi nakunywa ka hawa chungu na kashata nijibu Maswali yangu nasubiri!!
 
Acha hizo mbwembwe unaishi kuibia waislamu wenzako? Niko pale kwa mangi nakunywa ka hawa chungu na kashata nijibu Maswali yangu nasubiri!!
Msomi wa elimu dunia anasoma ili awe na maisha mazuri gari kali, nyumba kali demu mkali nk huo si wenda wazmu
 
Uliambiwa wapi vita ina mlengo wa kidini ,nyie mnafirikia wapalestina ni waislamu [emoji1787][emoji1787]mnaogopa Israel anaweza kudundwa maana mnaamini ni taifa teule ....Wabongo kwa ushabiki hamjambo.
Sasa mbona unajijibu mwenyewe upuuzi wako wewe ndio unauliza mnawatetea wayahudi sio wakristo
 
Palestine mimi naitambua katika aya hii
Quran 17:1 Subhana ametakasika aliye mchukua mja wake katoka msikiti mtukufu mpaka msikiti wa mbali(Al Aqsa-jerusalem) Ambao tumeubariki vilivyouzunguka.....
 
Kwa taarifa yako tu wakristo na Wayahudi hata siku moja ha uwięzi kuwatenganisha maana Bila Wayahudi Ukristo usingekuwepo na Yesu alikuwa Muyahudi akina Daud,Saul na mitume wengine walikuwa wayahudi sasa ninyi na Shobo zenu mnawatenganisha vipi?. Pia nikutaarifu tu ukimuona Mkristo anapingana na Israel au wayahudi jua huyo alisha-asi siku nyingi amebakia jina tu. Wakristo na Wayahudi ni sawa na Maji na Samaki!!!. Kama kubwabwaja tu endeleeni kubwabwaja lakini huwezi kuwatenganisha watu hao!!
Duh? 😄
 
Ndege-vita za Jeshi la Israel leo hii zimekuwa zikitamba kwenye anga la Beirut wakati wa mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah aliyeuwawa na majeshi ya Israel Sept 27,2024 saa 12:21 jioni. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanja I hapo zikiwa kwenye speed na zikiwa kwenye “After-Burner” hivyo kusababisha mtafaruku mkubwa uwanjani hapo na ililazimu mtangazaji kuwatangazia watu watulie wasibabaike. Uwanjani hapo walikuwepo viongozi wakuu kutoka Yemen,Iran na nchi zingine zinazounga mkono Magaidi hao wa Hezbollah. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanjani hapo zikiwa kwenye Formation ya Arrowhead
Kwa hiyo?
Fucking second hand nonsense
 
Acha ujinga usituletee hapa Hadithi za Abunwas huo mwili wewe Mmatumbi mwenzangu umeuona wapi? Yaani unaambiwa na unaamini!! Ndiyo maana Manadanganywa kuwa ukifa Unafanya ugaidi unakabidhiwa Manikira 72 uwabikiri na kwa sababu mnapenda ngono mnashobokea tu.
Wewe wauliza mimi nimeona wapi, endelea kushobokea singeli mimi nashobokea alie niumba
 
Back
Top Bottom