Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni fix za masjid ubwabwa tu kama zilivyo siku zote.Shahidi Nasralah alipigwa mabomu tani 80 yaliyosambaratisha jengo zima lakini hakutoka hata kovu zaidi ya kufariki kwa presha ya kishindo kile akiwa katka Banka lake na mpaka leo anaenda kuzikwa taarifa zinasema mwili wake ukiona kama amelala tu na unakia vizuri tu
Ongea taratibu Wafuga midevu na Majini wasikusikie.!!!! IAF haina mpinzani mashariki ya kati mpaka IranIna maana hapo mashariki ya kati ndege za kivita za Israel zinaruka tu kama zinavyopenda na ndio maana hata marubani wa kike wanafunga safari na kwenda kumchakaza mtu na baadae zinarejea Israel salama salmin.
wameishia tu kusema walau wakibaru, wakati allah mwenyewe hana hata nguvu za kuwasaidia dhidi ya myahudi. ni kapepo fulani ka kiarabu wala sio Mungu. duniani miungu ni migi, ila Mungu wa kweli na mwenye Nguvu kuliko wote ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobu ambaye ndiye Mungu wa Israel. sio huyo mungu wa mood.
Akarushe Yemen tu sio mbali na hapoOngea taratibu Wafuga midevu na Majini wasikusikie.!!!! IAF haina mpinzani mashariki ya kati mpaka Iran
Resistance wote wako katka jihad hivyo hilo sio swali ni jibuShahidi? Kwani kapigana Jihad
Ninavyojua mimi jihad ni vita ya diniResistance wote wako katka jihad hivyo hilo sio swali ni jibu
Mpk leo walikua nae bado?walidhani atafufuka?Ndege-vita za Jeshi la Israel leo hii zimekuwa zikitamba kwenye anga la Beirut wakati wa mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah aliyeuwawa na majeshi ya Israel Sept 27,2024 saa 12:21 jioni. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanja I hapo zikiwa kwenye speed na zikiwa kwenye “After-Burner” hivyo kusababisha mtafaruku mkubwa uwanjani hapo na ililazimu mtangazaji kuwatangazia watu watulie wasibabaike. Uwanjani hapo walikuwepo viongozi wakuu kutoka Yemen,Iran na nchi zingine zinazounga mkono Magaidi hao wa Hezbollah. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanjani hapo zikiwa kwenye Formation ya Arrowhead
Mfano hapo kati ya kongo na M23 mwenye haki na ardhi kama ni Mkongo basi wanajeshi wote wa kongo waliofariki wote ni direct peponi mpaka wananchi waliopitia madhila yake wote peponi, kwahio mtu anapotaka kuchukua ardhi akutoe katka ardhi yako hio ni jihadi ya haki kabisa na malepo ni akhera hata hapa Tanzania tukivamiwa ardhi yetu watakao shika mtutu wako katka jihadi malipo ya kishahidi, pia hataNinavyojua mimi jihad ni vita ya dini
Acha shobo wewe unamwoga myahudi kama Mungu mtu ila wewe anakuona dekio tuKwa taarifa yako tu wakristo na Wayahudi hata siku moja ha uwięzi kuwatenganisha maana Bila Wayahudi Ukristo usingekuwepo na Yesu alikuwa Muyahudi akina Daud,Saul na mitume wengine walikuwa wayahudi sasa ninyi na Shobo zenu mnawatenganisha vipi?. Pia nikutaarifu tu ukimuona Mkristo anapingana na Israel au wayahudi jua huyo alisha-asi siku nyingi amebakia jina tu. Wakristo na Wayahudi ni sawa na Maji na Samaki!!!. Kama kubwabwaja tu endeleeni kubwabwaja lakini huwezi kuwatenganisha watu hao!!
OkMfano hapo kati ya kongo na M23 mwenye haki na ardhi kama ni Mkongo basi wanajeshi wote wa kongo waliofariki wote ni direct peponi mpaka wananchi waliopitia madhila yake wote peponi, kwahio mtu anapotaka kuchukua ardhi akutoe katka ardhi yako hio ni jihadi ya haki kabisa na malepo ni akhera hata hapa Tanzania tukivamiwa ardhi yetu watakao shika mtutu wako katka jihadi malipo ya kishahidi, pia hata
Mama anayejifungua akifa anamalipo ya kishahidi, ugonjwa mbaya wa tumbo kuharisha au tumbo kusokotwa mpaka mauti malipo ya kishahidi yaani kuna scenerio Zaid ya saba yenye malipo ya kishahidi
Je na Mabikira 72 watawapata ili wawabikiri..? Kama wanaume wanapewa Mabikira 72 je wanawake wao watapewa nini?Mfano hapo kati ya kongo na M23 mwenye haki na ardhi kama ni Mkongo basi wanajeshi wote wa kongo waliofariki wote ni direct peponi mpaka wananchi waliopitia madhila yake wote peponi, kwahio mtu anapotaka kuchukua ardhi akutoe katka ardhi yako hio ni jihadi ya haki kabisa na malepo ni akhera hata hapa Tanzania tukivamiwa ardhi yetu watakao shika mtutu wako katka jihadi malipo ya kishahidi, pia hata
Mama anayejifungua akifa anamalipo ya kishahidi, ugonjwa mbaya wa tumbo kuharisha au tumbo kusokotwa mpaka mauti malipo ya kishahidi yaani kuna scenerio Zaid ya saba yenye malipo ya kishahidi
Kwani mleta mada kasema wayahudi ni wakristo?Kwani wewe mbona unafuatilia mambo haykuhusu 🤣🤣wewe ni mkristo hao mayahudi sio wakristo jitambue shobo mbaya sana.
Wengi wao watakuwa wamefika kama sehemu ya Utalii ili kujionea kwa macho kilichofanyika hapo Gaza kama matokeo ya kuwakumbatia HAMAS.
Ayatollah kapindua Dola Iran kipindi anatumia smg uje umtishe na hivyo vibajaji. Walitamani watu wasije kwenye mazishi ya kipenzi chao sasa watu 1.4 milion+ wamefika beirut wakiwa na jambo lao
Waw! Kumbe ni huko Lebanon wametembelewa na Watalii hao waliokwenda kushuhudia jinsi Lebanon walivyopata hasara kubwa kwa kuikumbatia Hezbollah nchini mwao Lebanon.Shughuli imefanyikia nchini Lebanon siyo Gaza, Gaza ni Mamlaka ya Palestina "nchi" nyingine kabisa
Hee alikua hajazikwa tu!!??